Hivi ni kwanini wasichana makini wanaringa?

vnn

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
3,030
Reaction score
7,499
Wakuu,

Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?

Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.

Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.

Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni

KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?

Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?

[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!
 
Wanaringia umakini wao.
 
Mwanamke mwenye mapenzi ya dhati na anayejielewa ana haki ya kujiamini. Kwa ubora na upekee, Anastahili kuringa. Kwa sababu ana hadhi nzuri na ana sifa nzuri ambazo mwanaume mwenye akili na mipango atajitahidi kumpata kwa sababu ameona its a nectar in a lotus.

Its us, gentlemen tujitume kuwa wasikivu na kuonyesha upendo wa kweli na nia. Atakuelewa tu akiona una nia na malengo mazuri.
 
Ushaongopewa mkuu to me 90% of girls ni ma loseball utakuwa unafanyiwa acting
 

Umeorozesha sifa za msichana makini, kinyume na hapo ujue nungaembe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…