Hivi ni kwanini vitu hivi viko kwa wanajeshi?

Hakuna somo kubwa na siri kubwa jeshini kama UZALENDO. do each and everything for serving your country and countrymen.

Once Patriotism becomes ice in your veins, you will no longer be a corrupt person, you will always put nation's interest first before anything. In short you will self-made a sacrificial person.

Thank you C/O wangu Charles Mbuge na Major Mafunzo Msila, leutenants, captains and other majors and generals including privates at 832KJ. Am now ready for anything for the sake of my nation,Tanzania, The government and others who really in-needs.
Sasa msiturukishe kichura.
 
Si useme tu unataka ajira
KiswaEngli na mbwembwe za kujikuta mzalendo kumbe msaka-tonge khaa!!

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna somo kubwa na siri kubwa jeshini kama UZALENDO. do each and everything for serving your country and countrymen.

Once Patriotism becomes ice in your veins, you will no longer be a corrupt person, you will always put nation's interest first before anything. In short you will self-made a sacrificial person.

Thank you C/O wangu Charles Mbuge na Major Mafunzo Msila, leutenants, captains and other majors and generals including privates at 832KJ. Am now ready for anything for the sake of my nation,Tanzania, The government and others who really in-needs.
kweli we ni mjeda uliye iva.salute kwako mkuu.maneno tu yenyewe hapo mwishoni Yana spirit za kuamsha mizuka za kijeshi.ni Kama vile unatoa morale kwa kikosi kiingie mzigoni.
 
Huko hkauna kusema hapa au nimechoka. Kuna mafunzo ya ukakamavu, sikia tu hiyo kitu.
Wiki 6 bila kulala, masaa 24 yote upo macho na kazi
 
Nilikuwa natizama taarifa ya habari hapa ITV mwanajeshi mmoja anasema walipewa assignment ya kulima hekari 1300 za mahindi wao wakalima hekari 1500.

Jeshi likipewa mradi let's say uishe ndani ya mwenzi 1 wao watakufanyia ndani ya siku 28, 27 au muda kamili. Daraja ikikataa wao ni dk0 wanalisimamisha, hawali rushwa kama kada zinazowafanania, ni nadra kuwakuta wakivunja sheria yaani ni nadra sana sana kukuta mwanajeshi anakula rushwa.

Wakiwa mtaani wengi ni watu wa kujishusha ila ukimchokoza tu ndio utaelewa maana ya mwanajeshi. Mimi sikufanikiwa kupita mafunzo yoyote ya jeshi mpaka nilipoishia kielimu. Natamani sana kujua kuwa ni mafunzo gani hupewa hasa mpaka wanakuwa na nidhamu na weledi wa juu katika kazi.
Shida ya jeshi ni malengo kuna kambi waliamua kulima ndizi hali ya hewa ikawa hairuhusu. Mkuu wa kikosi akasema lazima lengo litekelezwe kwa njia yotote kuruti na serbice men/women walikua 800 kila mmoja akaambiwa achombe mashimo 4 atafute mbolea popote na anapewa miche apande migomba 4.

Huwezi amini ndizi zilipandwa 4,000+ na kumwagiwa maji kwa ndoo mpaka zikakomaa na kuzaa . Kazi za kawaida utafanya na utamwagilia migomba yako haijulikani utamwagilia saa ngapi ila lazima kumwagiliwa. So jeshi wanafanya mambo ambayo unadhani hawawezekani kuwezekana.
So wale jamaa wanaenda kwa malengo na Nidhamu
 
Jamaa kawaida hawana kazi hao na wakiwa hawana kazi basi wanakula bata kweli kweli , ila ukiwapa kazi basi wanafanya kweli kweli.
Au nasema uongo ndugu zangu?
 
emoji3.png
emoji3.png
Kwa heshima ya Marehemu mzee kipenzi changuMagufuli uko ndani ya mada..duhhh
 
Nilikuwa natizama taarifa ya habari hapa ITV mwanajeshi mmoja anasema walipewa assignment ya kulima hekari 1300 za mahindi wao wakalima hekari 1500.

Jeshi likipewa mradi let's say uishe ndani ya mwenzi 1 wao watakufanyia ndani ya siku 28, 27 au muda kamili. Daraja ikikataa wao ni dk0 wanalisimamisha, hawali rushwa kama kada zinazowafanania, ni nadra kuwakuta wakivunja sheria yaani ni nadra sana sana kukuta mwanajeshi anakula rushwa.

Wakiwa mtaani wengi ni watu wa kujishusha ila ukimchokoza tu ndio utaelewa maana ya mwanajeshi. Mimi sikufanikiwa kupita mafunzo yoyote ya jeshi mpaka nilipoishia kielimu. Natamani sana kujua kuwa ni mafunzo gani hupewa hasa mpaka wanakuwa na nidhamu na weledi wa juu katika kazi.
Hao ni wezi kama wezi wengine,
 
Ungekuwa umefanikiwa kwenda JKT, ndiyo ungewapenda zaidi. Mimi niliingia JKT nikiwa nimeogopa kiasi, lakini baada ya mwaka kuisha, nilikuwa sitamani kabisa kuondoka Jeshini. Niliondoka kwa kulazimika tu!
 
Back
Top Bottom