Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,387
- 21,369
Tatizo wagonjwa wa bima mnakuwaga na vipimo vyenu mkononi, utasikia "Dr nataka kupima vipimo vyote " Ebo
Kwa sababu maccm yana uhakika wa kulipia kupitia pesa za umma na wahisaniJana niliamka vibaya sana kwani mwili ulikuwa na joto kali mnoo,kwenda Hospital nikawaeleza ninavyojisikia,Daktari akasema kapime malaria na UTI, nikamwambia jee naweza kupima Typhoid akasema lipia,duu[emoji44]mfukoni balance haitoshi.
Majibu yanatoja naambia nina UTI ila sina Malaria, sasa leo tokea saa 10 alfajiri ninahisi joto lipo juu na hii hali ni usiku tu mchana niko vizuri.
UTI haitoki haraka mwili, sijui unatumia dawa ipi lakini at least after 5 days. Tahadhari, hakikisha unamaliza dawa ulizopewa. UTI ni ugonjwa wa hovyo.Jana niliamka vibaya sana kwani mwili ulikuwa na joto kali mnoo,kwenda Hospital nikawaeleza ninavyojisikia,Daktari akasema kapime malaria na UTI, nikamwambia jee naweza kupima Typhoid akasema lipia,duu[emoji44]mfukoni balance haitoshi.
Majibu yanatoja naambia nina UTI ila sina Malaria, sasa leo tokea saa 10 alfajiri ninahisi joto lipo juu na hii hali ni usiku tu mchana niko vizuri.
Macho yanapimwa ila kupewa miwani inategemea na kadi ya yakoTuma Azuma bro..itakusaidia
UTI ni ugonjwa unaopona kirahisi sana. Huwa nashangaa unakuta mtu hana dalili yeyote kwenye njia ya mkojo lakini anaambiwa ana UTI?UTI haitoki haraka mwili, sijui unatumia dawa ipi lakini at least after 5 days. Tahadhari, hakikisha unamaliza dawa ulizopewa. UTI ni ugonjwa wa hovyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wwq endelea kusikilizia utajikuta kaburini.Sasa hivi joto hakuna limepotea,ngoja niendelee kusikilizia
Mpwa. Jiongeze ukanywe dawa ya malaria. Siku hizi hawatoi majibu yanayoonesha mtu ana malaria. Nilihangaika mpaka hospitali kubwa kabisa hawaoni malaria huku naendelea kudhoofika. Jamaa Fulani ananiambia ninywe mseto. Aiseeh. Ndani ya masaa kumi na mbili nikaanza kujisikia vzr maka kiu ya konyagi ikapanda.Jana niliamka vibaya sana kwani mwili ulikuwa na joto kali mnoo,kwenda Hospital nikawaeleza ninavyojisikia,Daktari akasema kapime malaria na UTI, nikamwambia jee naweza kupima Typhoid akasema lipia,duu[emoji44]mfukoni balance haitoshi.
Majibu yanatoja naambia nina UTI ila sina Malaria, sasa leo tokea saa 10 alfajiri ninahisi joto lipo juu na hii hali ni usiku tu mchana niko vizuri.
Mpwa. Jiongeze ukanywe dawa ya malaria. Siku hizi hawatoi majibu yanayoonesha mtu ana malaria. Nilihangaika mpaka hospitali kubwa kabisa hawaoni malaria huku naendelea kudhoofika. Jamaa Fulani ananiambia ninywe mseto. Aiseeh. Ndani ya masaa kumi na mbili nikaanza kujisikia vzr maka kiu ya konyagi ikapanda.
Nadhani reagents walizoagiza kupimia malaria zina kasoro au nahisi tumetokomexa malaria
Hujui kuelezea kitu kwa mtu ili aelewe. Kwani wote humu tunajua maana ya widal na culture test!!Wanalipa ukifanya kipimo cha culture na siyo kwa kipimo cha widal test. Vituo vingi vinatumia widal test ambayo inaweza kuleta majibu yasiyo sahihi. Kwa sababu hata ukiwa na ugonjwa mwingine ambao unaweza kupata widal positive. Kumbe siyo Typhoid ni ugonjwa mwingine, Bima wanashauri kufanya Culture.
Mimi siyo mwalimu, ingia Google ucheki hivyo vitu, wa Tanzania tupenda kutafuniwa.Hujui kuelezea kitu kwa mtu ili aelewe. Kwani wote humu tunajua maana ya widal na culture test!!
Ikiexpire ndiyo unaanza kuumwa😂bima wakati mwingine ni kama pata potea unakaaa huumwi hadi bima ina expire
Kila hospital inatakiwa iwe na miundo mbinu ya culture, ila kuanzisha hivyo vitu ni gharama Sana. Ndiyo maana siyo kila hospital ina hicho kipimo. Hata hizo UTI inatakiwa kufanya Culture and sensitivity, ndiyo utakuwa una uhakika kweli ninachotibu ni UTI.hii culture inafanywa kwenye hospitali zip za rufaa au za wilaya
Unanikumbusha mzee mmoja alijitoa kwenye chama cha wachaga kisa yeye anachingia tu lakini hajachangiwa kwa maana hiyo alikuwa kama anaomba afe yeye au afiwe.Alivyojitoa tu baada ya mwaka akafariki tulimzika huku huku mbali na kwao kijijini mark your word my brother.bima wakati mwingine ni kama pata potea unakaaa huumwi hadi bima ina expire
Kama Corona vileTyphoid, labda serikali inaona ugonjwa huo kama mapepo na si ugonjwa wa kawaida
Hujafafanua bima uliyo nayo ni ya aina gani.Mfano AAR kuna catergory golden,silver na blue sasa wewe una bima ya kupima malari a na mafua unategemea upimwe widalJana niliamka vibaya sana kwani mwili ulikuwa na joto kali mnoo,kwenda Hospital nikawaeleza ninavyojisikia,Daktari akasema kapime malaria na UTI, nikamwambia jee naweza kupima Typhoid akasema lipia,duu[emoji44]mfukoni balance haitoshi.
Majibu yanatoja naambia nina UTI ila sina Malaria, sasa leo tokea saa 10 alfajiri ninahisi joto lipo juu na hii hali ni usiku tu mchana niko vizuri.