Jana niliamka vibaya sana kwani mwili ulikuwa na joto kali mnoo,kwenda Hospital nikawaeleza ninavyojisikia,Daktari akasema kapime malaria na UTI, nikamwambia jee naweza kupima Typhoid akasema lipia,duumfukoni balance haitoshi.
Majibu yanatoja naambia nina UTI ila sina Malaria, sasa leo tokea saa 10 alfajiri ninahisi joto lipo juu na hii hali ni usiku tu mchana niko vizuri.
Ipo inategemeana na Level ya hospital ulio kwenda, hawaruhusiwi kufanya kipimo cha typhoid koo wakikupima hawatalipwa na bima ndo maana wanakwambia haipo.
Hospital ni biashara na bima haifanyi biashara kaa ukielewa, unaweza kuta health centre ina mashine ya MRI, au CT SCAN ambapo hata hospital ya wilaya haipo.Kwanini wanaruhusiwa kupima typhoid na kuwatoza watu fedha, kwanini serikali isiwakamate hao wanaopima typhoid badala ya kuwatesa wagonjwa
Hospital ni biashara na bima haifanyi biashara kaa ukielewa, unaweza kuta health centre ina mashine ya MRI, au CT SCAN ambapo hata hospital ya wilaya haipo.
Bima ukizidisha bei ya dawa hailipi, ina bei za dawa zote tz nzima, koo serikali haiwezi kuwafungia watu sbb ni biashara ya kusaidia watu na kupata faida.
mkuu kapime tena malaria hospitali kubwa private..Jana niliamka vibaya sana kwani mwili ulikuwa na joto kali mnoo,kwenda Hospital nikawaeleza ninavyojisikia,Daktari akasema kapime malaria na UTI, nikamwambia jee naweza kupima Typhoid akasema lipia,duumfukoni balance haitoshi.
Majibu yanatoja naambia nina UTI ila sina Malaria, sasa leo tokea saa 10 alfajiri ninahisi joto lipo juu na hii hali ni usiku tu mchana niko vizuri.
Typhoid unajua sababu zake ziepuke na hautaiulizia tena kwenye bima,acha ushambaJana niliamka vibaya sana kwani mwili ulikuwa na joto kali mnoo,kwenda Hospital nikawaeleza ninavyojisikia,Daktari akasema kapime malaria na UTI, nikamwambia jee naweza kupima Typhoid akasema lipia,duumfukoni balance haitoshi.
Majibu yanatoja naambia nina UTI ila sina Malaria, sasa leo tokea saa 10 alfajiri ninahisi joto lipo juu na hii hali ni usiku tu mchana niko vizuri.
Nadhani amekuelewa vizuriWanalipa ukifanya kipimo cha culture na siyo kwa kipimo cha widal test. Vituo vingi vinatumia widal test ambayo inaweza kuleta majibu yasiyo sahihi. Kwa sababu hata ukiwa na ugonjwa mwingine ambao unaweza kupata widal positive. Kumbe siyo Typhoid ni ugonjwa mwingine, Bima wanashauri kufanya Culture.
Omba uugue mara nyingi ili ufaidi bima yakobima wakati mwingine ni kama pata potea unakaaa huumwi hadi bima ina expire
Meza na PCMNimepewa Cipro lakini joto bado
Ukiona hivyo ,jua kasoma st.kunani huyoMimi siyo mwalimu, ingia Google ucheki hivyo vitu, wa Tanzania tupenda kutafuniwa.
umenichekesha sana. Ila watu wengine shida Sana kwenye jamii. Haya mkuu.Ukiona hivyo ,jua kasoma st.kunani huyo
Nimependa ufafanuzi wako mkuuWewe ukienda kupima choo majibu yake unayapata hapohapo sio? Sasa hiyo anayozungumzia jamaa hapo juu unaacha choo chako hospitali kinasindikwa kama mbegu za mahindi zinazo oteshwa kwenye maji hapo nasikia kinakaushwa baadaw kinasagwa kisha ndio kinapimwa kisha unaitwa siku nyingine kuchukua majibu yako