Hivi ni kwanini siku hizi wamama wamezidi kupenda vijana wadogo?

Mc abby

New Member
Sep 27, 2023
3
6
Naomba Tulijadili hili kwa umoja maana hiii imekua kama kawaida sasa kwa mamazetu wenye pesa kutembea na vijana wadogo ambao hata wao wenyewe wanaweza kuwazaa.

Swali langu
1 Je, ni sawa hili swala?
2 Mbna hatuoni ndoa zaidi ya kumtumia na kumuachaa tu?

Tusaidia wakuuu
Karibuni kwa hili
 
Majibu.

Swali la Kwanza.

Ni Sawa kabisa. Kwan hayanaga umri wala rika kikubwa awe amefikisha miaka 18 and above.

Swali la pili.

Ndoa ni maridhiano au makubaliano ya watu kuishi pamoja, wengi tuu wameoana ambao umri umepishana fanya tafiti. Vile vile kuna wengi pia ambao mwanaume amemzidi umri mwanamke na hawajafunga ndoa. Kikubwa life linasonga.
 
Vijana nao wanataka kulelewa na majimama, mabinti hawawawezi kuwatimizia mahitaji yao. Mabinti nao wanajitwalia majibaba wanayaita madanga, hayo madanga wanawanunuli vitu vya bei kubwa mabinti wanaona wamepata
 
Majibu.

Swali la Kwanza.

Ni Sawa kabisa. Kwan hayanaga umri wala rika kikubwa awe amefikisha miaka 18 and above.

Swali la pili.

Ndoa ni maridhiano au makubaliano ya watu kuishi pamoja, wengi tuu wameoana ambao umri umepishana fanya tafiti. Vile vile kuna wengi pia ambao mwanaume amemzidi umri mwanamke na hawajafunga ndoa. Kikubwa life linasonga.

Ni sawa but kitu chochote unachoweza kukifanya na watu wakashangaaa inamana kinakua sio kitu cha kawaida mybe Kwa culture flani
Hivyo kwa culture yetu sie watanzania ayo mambo sio yetu mkuuu
 
Mabinti wanaomba sana Pesa mizinga mingi na awafanyi chochote

That why vijane wanenda Kwa mashangazi

Utamu Bure

Pesa unapewa

Unapetiwa kama mtoto

Ngoja nimtafute Tena jirani yangu penina mama penina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom