Hivi ni kwanini huyu dada alifanya vile...??

Silence means alivyokuwa anaimajin jinsi ulivyo ikawa si hivyo.
Her expectations were high but alipokuona akagundua you are below her standards.
 
alikuwa anataka akuone fizikali sa alipokuona UKAWA NJE YA VIWANGO na ndo mana akakupotezea
ungekuwa umemvutia basi angekuwa wa kwanza kukuchek..umefika dia?lala salama zngekuwa nyingiiiiiiiiiiiii

....alivyokuona akajisemema kimoyo moyo mtu mwenyewe nayeongea nae kwenye cm ndo uyu puuuuuuuuuuuuu ...anion wala kuniskia tena bastad,,.....!!!
ni michezo tu iyo km ile mnayotuchezeaga wakike so tuliza jambia mtu usipanmge kuchinja meza maumivu pata panadol ujisikilizie uanze upya..

unanidai bumunda mpenzi
 
KESHO NALITAKA.
kanifurahisha uyu dada alivyomwacha solemba jamaa akabak anambwela mbwela tu....teh teh rahaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

hahahahahaaa maana viwango duni :car:,kesho kukikucha unalikuta mlangoni
 
Ili baadae unipotezee! Nimekujua wewe unapenda masharobaro! Cji tena!
Ngoja tuhela twangu nitunywee ulanzi..!

ahh apana
mi mashalobalo wa kaz gan?
ao hawana nafasi kwangu
hawajui mapenz,wanaomba ela,wanapenda kullelewa,HAWAJUI SHUGHUL...wnapaka poda+wanja mi spak ahh si watak mie

mi nawataka wanaume km wewe...(mwisho wa mwez u) so wewe njoo tu mpz..
 
hahahahahaaa maana viwango duni :car:,kesho kukikucha unalikuta mlangoni

mwenzangu labda jamaa alikuwa anajifagilia aahhh mimi nina usafiri wa hatar ahh kumbe bwna kamwibukia mtoto na kibito sjui beb woka...oohh mimi mrefuu kumbe kadwafu kaajabu..mimi bwana presentabo kumbe ni kitu chca kufichwa uvungun..JAMAA ALIMJAZA DADA VTU ASIVYOKUWA NAVYO...muwe wakweli..ooh mi mkimbiaj mzuri wa riadha ahh kumbe jamaa ni kiwete...UNAZAN DADA HATAKUKIMBIZA..?
 
ahh apana
mi mashalobalo wa kaz gan?
ao hawana nafasi kwangu
hawajui mapenz,wanaomba ela,wanapenda kullelewa,HAWAJUI SHUGHUL...wnapaka poda+wanja mi spak ahh si watak mie

mi nawataka wanaume km wewe...(mwisho wa mwez u) so wewe njoo tu mpz..
Hahaha ngoja wenyewe waje hapa wakusikie!
 
Sijaelewa,,yani mmekutana afu hamjaonana???

ngoja nkupashe mwaya;
wamekutana bt dada kareact negative afta kuonana kinyume na b4 awajaonana..so anauliza y dada kaact ivyo wakat anaonekana alikuwa anamshobokea iv..

bnadamu umu ndan waklamjibu iv

1.
ulikuwa unampa picha si ya kweli juu yako
so alivyokuona ikawwa kinyume na matarajio yake thats y kakupotezea

yours REUTERS.
 
Hahaha ngoja wenyewe waje hapa wakusikie!

akina nan?
masharobaro?au km wew?
km masharobaroi wala hawanitish ..wamelegeaaaaaaaaaaa kila idara kwenz moja chalii na ivi nachukua koz kwa fransis cheka....mbona watanikoma umu ndan..:suspicious:
mjanja mimi
baunsa mimi
hakimu mimi
mtuhumiwa mimi ..UTANAMBIAJE SASA?
POLIC MIMI MWIZI MIMI...:car:
 
teh teh apo chacha...unaenda kukutana na bnt wa kiislamu ushung 24 7 eti wajipigilia kata k ..do u thk atakupa nxt page..?

unaenda kumit na dada do afu we wavaa kiluga luga km mwimba kwaya ya bukuku wat do u thk?

mdada wa salun afu we wampigisha stor za dowans ,mwakyembe,bod ya mikopo ahh unazan atakutamana tena?

waenda kukutana na mdada class kaenda shule kabukua afu kumit nae tu waanza kumpigisha stor za yaan ndg zangu mimi yaan wananitesa,boss wangu kaninyima trip...ahh ataona uyu ubongo wake tambala..atasepa

B CAREFUL UNAPOENDA KUKUKUTANA NA MSICHANA ..soma anataka kusikia nini

unakuja kwangu afu et unaanza na ..ahh jaman rose matairi yamepanda bei skuizi yaan tyre moja ni lak 6 ahh NTAKUNUNIA IMMEDIATELY...
BYEEEEEE:car:
big up!!!mdada aliona chalii atamyeyusha.Ila namshauri akaze kamba kuna siku huyo mdada atagombana n a mtu wake then newcomer ata take advantage
 
akina nan?
masharobaro?au km wew?
km masharobaroi wala hawanitish ..wamelegeaaaaaaaaaaa kila idara kwenz moja chalii na ivi nachukua koz kwa fransis cheka....mbona watanikoma umu ndan..:suspicious:
mjanja mimi
baunsa mimi
hakimu mimi
mtuhumiwa mimi ..UTANAMBIAJE SASA?
POLIC MIMI MWIZI MIMI...:car:
Dah kweli leo masharo wamepata habari yake!
Ntacheka tena baadae tukikutana kwenye kidate chetu! Lol
C u there!
 
teh teh apo chacha...unaenda kukutana na bnt wa kiislamu ushung 24 7 eti wajipigilia kata k ..do u thk atakupa nxt page..?

unaenda kumit na dada do afu we wavaa kiluga luga km mwimba kwaya ya bukuku wat do u thk?

mdada wa salun afu we wampigisha stor za dowans ,mwakyembe,bod ya mikopo ahh unazan atakutamana tena?

waenda kukutana na mdada class kaenda shule kabukua afu kumit nae tu waanza kumpigisha stor za yaan ndg zangu mimi yaan wananitesa,boss wangu kaninyima trip...ahh ataona uyu ubongo wake tambala..atasepa

B CAREFUL UNAPOENDA KUKUKUTANA NA MSICHANA ..soma anataka kusikia nini

unakuja kwangu afu et unaanza na ..eeeh kuiahh jaman rose matairi yamepanda bei szi yaan tyre moja ni lak 6 ahh NTAKUNUNIA IMMEDIATELY...
BYEEEEEE:car:

Hahahahaha! naona umetoa Tip kabisa hapo
 
big up!!!mdada aliona chalii atamyeyusha.Ila namshauri akaze kamba kuna siku huyo mdada atagombana n a mtu wake then newcomer ata take advantage

lakin ata km plan A ikifel uwez ukaswitch PLAN B ambayo si style yako,hadhi yako...MARA NYNG PLAN B INAKUWA haina tofaut sana na plan A

...ajisambaratishe tu apo
uyo dada si swaga zake uyoo bwana ....
 
Dah kweli leo masharo wamepata habari yake!
Ntacheka tena baadae tukikutana kwenye kidate chetu! Lol
C u there!

usichelewe km juz basi DEARBOY!!!
nije nikukabidh na zile bill..ahhh ok swetie c u thre!!!!!!
 
Labda hukuwa umejiandaa kaka yangu,ukakurupuka kitandani bila hata ya kuswaki, kufika kule mdomo ukawa unatoa harufu kali na wewe umekazana unataka kumuaga kwa denda dem akajua kila siku ndo upo hivyohivyo.
Pili hiyo imekuwa kama technique ya wadada na wakaka wengi ya kujifanya kama hataki vile baada ya kuonana na mtu mara moja atajifanya kama amepotezea ili mwenzage abeg for more
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom