Hivi ni kwanini huyu dada alifanya vile...?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kwanini huyu dada alifanya vile...??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Papa Mopao, Jan 26, 2011.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Kuna siku nilitokea kuwasiliana na mdada fulani(jina kapuni),ingawa hatujawahi kuonana uso kwa uso.

  Huyo dada kuna siku nilim-sms kwa meseji kama salamu, ikafika mahali, nilimuuliza amekula dinner? akanijibu "khaaa nnna njaaaa!!" nikashangaa na kumjibu "Ungeniambia mapema tungekula wote", alijibu "Jaman", aliniambia "njoo!" mahali alipo yeye ilikuwa usiku saa nne, nikajishauri kimoyomoyo nikamjibu kwa sasa ni usiku tufanye kesho(yaani siku inayofuata), alinijibu "Hapana, 2morrow ts a busy day!". Nikaona duh kweli alitaka anione nikajisukuma mpaka pale alipo na tukaonana tukaongea mawili matatu kwa muda mfupi nikaondoka.

  Sasa nilipofika hm, nikamjulisha kwamba nimefika salama, sikuona JIBU mpaka hivi sasa.

  Je, hiyo ni dharau ama?
   
 2. a

  allydou JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,484
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  amekupotezea huyo, mzee hauna kitambi nini,
   
 3. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,653
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  1. kwani ulimnunulia hiyo dinner? 2. Ukute matarajio yake au picha aliyovuta kichwani mwake haiendani na mtu aliyekutana naye pole sana ndugu
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Anakufikria
   
 5. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hana chako huyo! Sahau kabsa, ungejipanga na kutoka kwa ful toz... Nilishalamba pusi kwa staili hyo...
   
 6. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hakutegemea kama ungekua ni wewe.
  imagination yake imekua tofauti na reality.
   
 7. CPU

  CPU JF Gold Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Umejaribu kumpigia sim?
   
 8. a

  allydou JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,484
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  au mzee unasura ya kiumeni sana, pengine alitarajia bomba ya tozi, u never know.
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  :):):):):):)
   
 10. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  imebidi nicheke tu hapa..
   
 11. kipusy

  kipusy JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  JIBU HAYO MASWALI KWANZA NI YA MSINGI SANA, JE, ULIMNUNULIA DINNER GANI? ULIPIGA PAMBA ZIPI? JE, WEWE MWENYEWE UNAJIONA PRESENTABLE??? NA MLIPIGA STORY GANI? MAANA MAONGEZI PIA YANACHANGIA...SIO UFIKE PALE UANZE KUONGEA HABARI ZA DOWANS... NA UVCCM...hahahhahh :nono:
   
 12. Blue_Face

  Blue_Face Member

  #12
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  andazi lilikuwa limeshaumuka linataka kuchomwa - umepoteza chance na ungekuwa karibu yangu
  ningekuzinguwa kibao. Next time mchukue Blue_Face:shock:
   
 13. g

  geophysics JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama ulisahau kupiga marashi anayoyapenda ukaenda na harufu ya kikwapa imekula kwako....wadada nao wana vigezo
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  lol, jf bana.

  We mweke hadharan huyo mtuhumiwa otherwise ifunge tu hii thread, haina maslahi kwa taifa.
   
 15. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Hakutegemea Mopao yuko hivyo ndiyo mana kakupotezea.. Au usikute message yenyewe ilijitosheleza maelezo kwahiyo hapakuwa na cha kujibu lakini wewe unajishtukia mkuu!!
   
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Huna haja ya kujiuliza kama umedharauliwa ama la wakati ukweli ni NDIO,mpotezee tu kama alivyofanya yeye.
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  Short listed subiri utaitwa
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  alikuwa anataka akuone fizikali sa alipokuona UKAWA NJE YA VIWANGO na ndo mana akakupotezea
  ungekuwa umemvutia basi angekuwa wa kwanza kukuchek..umefika dia?lala salama zngekuwa nyingiiiiiiiiiiiii

  ....alivyokuona akajisemema kimoyo moyo mtu mwenyewe nayeongea nae kwenye cm ndo uyu puuuuuuuuuuuuu ...anion wala kuniskia tena bastad,,.....!!!
  ni michezo tu iyo km ile mnayotuchezeaga wakike so tuliza jambia mtu usipanmge kuchinja meza maumivu pata panadol ujisikilizie uanze upya..
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  teh teh apo chacha...unaenda kukutana na bnt wa kiislamu ushung 24 7 eti wajipigilia kata k ..do u thk atakupa nxt page..?

  unaenda kumit na dada do afu we wavaa kiluga luga km mwimba kwaya ya bukuku wat do u thk?

  mdada wa salun afu we wampigisha stor za dowans ,mwakyembe,bod ya mikopo ahh unazan atakutamana tena?

  waenda kukutana na mdada class kaenda shule kabukua afu kumit nae tu waanza kumpigisha stor za yaan ndg zangu mimi yaan wananitesa,boss wangu kaninyima trip...ahh ataona uyu ubongo wake tambala..atasepa

  B CAREFUL UNAPOENDA KUKUKUTANA NA MSICHANA ..soma anataka kusikia nini

  unakuja kwangu afu et unaanza na ..ahh jaman rose matairi yamepanda bei skuizi yaan tyre moja ni lak 6 ahh NTAKUNUNIA IMMEDIATELY...
  BYEEEEEE:car:
   
 20. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mh kumbe? Cji tena kwenye kideti cha leo!
   
Loading...