tuliosoma kozi hizo kuna kitu inaitwa discreet mathematics hii ni moja ya hesabu ambayo ina application sana katika maisha harisi zaidi pia hutumika kwenye maswala ya utafiti , ukiweza kuelewa hili somo ubongo wako unafunguka jinsi unavyofikilia na kufanya mambo yako yani unakuwa kama una mlango wa 6 wa fahamu , sisi tuliosoma field za engineering haswa kwenye electronics na computer tunasoma theory of computational japokua inafanya kazi kwenye computer lakini ina apply mpaka kwenye biology hili somo ni very theoretical lakini lina application kubwa katika mazingira kuanzia kwenye computer mpaka maisha ya viumbe hai, ni kweli mtu aliyesoma science anafunguka sana katika uelewa zaidi , kama umeweza kusoma science mfano computer scientists ndio wanaofanya tafiti za uchumi kwa kutumia simulation ya miaka kadhaa inayokuja wanaandika algorithm ambazo zinaweza ku predict hali ya uchumi na hawa ndio wanasoma computer then huko juu wana specialize kwenye research wanakuwa nondo kuliko aliyesoma biashara.