Hivi ni kwa nini wasomi wenye background ya sayansi na engineering ndio wanaofanikiwa sana kibiashara?

Rog chimera

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
305
500
Hivi ni kwa nini wasomi wenye background ya sayansi na engineering ndio wanaofanikiwa sana kibiashara? Angalia mataifa ya magharibi lakini pia hata africa na tanzania specifically , wasomi wengi walio succeed kwenye business wana background ya science hasa engineering. Ni coincidence tu au ni nature?
 

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
15,210
2,000
Kwa sababu wanajua vitu vingi na wana uthubutu,wanaweza kuingia kiwandani wakatoa specs za vitu wanavyovihitaji na wakavipeleka sokoni kwa brand zao au za kiwanda husika
 

muyovozi

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
468
1,000
Zamani MTU alikuwa akisoma engineering na science ni wale cream ya juuya uelewa. Sishangai maishani kama ndio wenye mafanikio maishani. Nasikia kipimo cha akili IQ ni uelewa Wa hesabu na namba ndio mama Wa sayansi na injinia .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

-KANA-

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
3,977
2,000
Wanasayansi ndio wavumbuzi. Sasa wanapotumia hatimiliki ya uvumbuzi wao mafanikio kibiashara hayaepukiki.

Kuanzia kwa akina Thomas Edison, kuja kizazi cha Bill Gates mpaka akina Elon Musk!

- KANA -
 

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,508
2,000
Wanasayansi ndio wavumbuzi. Sasa wanapotumia hatimiliki ya uvumbuzi wao mafanikio kibiashara hayaepukiki.

Kuanzia kwa akina Thomas Edison, kuja kizazi cha Bill Gates mpaka akina Elon Musk!

- KANA -
BILA KUMSAHAU MHESHIMIWA DR. PIERRE_LIQUID.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 

iphonex82

Senior Member
Apr 16, 2019
107
250
Engineers hatunaga mambo mengi by nature, engineer anapotaka kuanzisha kitu kama ana pesa na ana uhakika inamfaa lazima tu aanzishe pasipo kusua sua hyo inaitwa UTHUBUTU. Business and artists huwa wanakuwa na uoga sana pale anapotaka kuimplement project yake pia atahitaji project ndogo aiweke kama alivyosoma darasan yaani FULL team ata kama ilitakiwa tu aanze ata na staff wawili tu so wanajikuta mambo yamegoma na kuanza tena kutafuta fund.
 

geniusMe

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
1,307
2,000
tuliosoma kozi hizo kuna kitu inaitwa discreet mathematics hii ni moja ya hesabu ambayo ina application sana katika maisha harisi zaidi pia hutumika kwenye maswala ya utafiti , ukiweza kuelewa hili somo ubongo wako unafunguka jinsi unavyofikilia na kufanya mambo yako yani unakuwa kama una mlango wa 6 wa fahamu , sisi tuliosoma field za engineering haswa kwenye electronics na computer tunasoma theory of computational japokua inafanya kazi kwenye computer lakini ina apply mpaka kwenye biology hili somo ni very theoretical lakini lina application kubwa katika mazingira kuanzia kwenye computer mpaka maisha ya viumbe hai, ni kweli mtu aliyesoma science anafunguka sana katika uelewa zaidi , kama umeweza kusoma science mfano computer scientists ndio wanaofanya tafiti za uchumi kwa kutumia simulation ya miaka kadhaa inayokuja wanaandika algorithm ambazo zinaweza ku predict hali ya uchumi na hawa ndio wanasoma computer then huko juu wana specialize kwenye research wanakuwa nondo kuliko aliyesoma biashara.
 

geniusMe

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
1,307
2,000
tuliosoma kozi hizo kuna kitu inaitwa discreet mathematics hii ni moja ya hesabu ambayo ina application sana katika maisha harisi zaidi pia hutumika kwenye maswala ya utafiti , ukiweza kuelewa hili somo ubongo wako unafunguka jinsi unavyofikilia na kufanya mambo yako yani unakuwa kama una mlango wa 6 wa fahamu , sisi tuliosoma field za engineering haswa kwenye electronics na computer tunasoma theory of computational japokua inafanya kazi kwenye computer lakini ina apply mpaka kwenye biology hili somo ni very theoretical lakini lina application kubwa katika mazingira kuanzia kwenye computer mpaka maisha ya viumbe hai, ni kweli mtu aliyesoma science anafunguka sana katika uelewa zaidi , kama umeweza kusoma science mfano computer scientists ndio Samaritans tafiti za uchumi kwa kutumia simulation ya miaka kadhaa inayokuja wanaandika algorithm ambazo zinaweza ku predict hali ya uchumi na hawa ndio wanasoma computer then huko juu wana specialize kwenye research wanakuwa nondo kuliko aliyesoma biashara.
 

Lasway.Jr

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
229
500
Hivi ni kwa nini wasomi wenye background ya sayansi na engineering ndio wanaofanikiwa sana kibiashara? Angalia mataifa ya magharibi lakini pia hata africa na tanzania specifically , wasomi wengi walio succeed kwenye business wana background ya science hasa engineering. Ni coincidence tu au ni nature?
God made the earth and leave it to the engineers so lazima tuwe matajiri
 

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
6,401
2,000
Wengi wao huwa ni watafiti.So watafanya utafiti wa jambo Fulani kabla ya kukianzisha na baadae jambo/wazo hill kuwa na mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio umeelezea kiufasaha kuliko wote.
Engineers huwa hawafanyi kitu kwa brah brah na siasa kwa hyo ni ngumu sana kumdanganya.
Na pia huwa wanafanya vitu hatua kwa hatua bila kukurupuka.
Ni tofauti kidogo na watu wa fani zingine ambapo utawakuta wanaripuka ghafla kulifanya Jambo ambalo hana uwezo nalo na makelele/promo kibao ndio zinafanya kazi na baada ya muda mfupi utasikia kimya huoni Cha biashara wala promo.
 

antimatter

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
21,248
2,000
Wewe ndio umeelezea kiufasaha kuliko wote.
Engineers huwa hawafanyi kitu kwa brah brah na siasa kwa hyo ni ngumu sana kumdanganya.
Na pia huwa wanafanya vitu hatua kwa hatua bila kukurupuka.
Ni tofauti kidogo na watu wa fani zingine ambapo utawakuta wanaripuka ghafla kulifanya Jambo ambalo hana uwezo nalo na makelele/promo kibao ndio zinafanya kazi na baada ya muda mfupi utasikia kimya huoni Cha biashara wala promo.
Teh teh teh.....hakuna Cha biashara Wala promo!
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,417
2,000
Ni kweli sisi tuna kipawa sana cha hesabu na hesabu ndio maisha...ni hayo tu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom