Simba SC Mpira sio Uchawi, ni Sayansi na wajibu

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,259
4,125
SSC niwasaidie kitu.

Mpira wa sasa upo kisayansi zaidi kuliko propaganda. Data hazidanganya. Namba hazidanganyi. Mpira ni Sayansi.

Somewhere somehow SSC ikae chini ijitafakari upya na sayansi inayotumia.

Asilimia kubwa ya wachezaji wa SSC ni wazee, ukizingatia waafrica wanadanganya sana umri. Hizo age zao wala sio age sahihi.

Age matters a lot in football, ndio maana mtu kama Aziz Ki kina Max wanasumbua sna beki za SSC. Mtu kama Saido since 2005 amecheza huko sweeden, hadi now anamalizia pension yake kwenye klabu kama SSC, Hussein ameshachoka , hawezi kuleta ushindani wowote serious mbele ya damu changa. Watu wenye hawa wanaamini sana kwenye kupuliza kuliko sayansi ya mpira , kina kapombe wote hao.

Chama hawa wote ni wazee wanatembelea nyota za miaka hiyo wakat wao ulishapita tuwape heshima. Boko, Mzamiru na wengineo.

Angalie usajili wa Yanga.... wapo strategically and scientifical .

SSC bado sajil zake ni traditional zenye propaganda nyingi na uswahili . No science not straitegically . Mpira sio uchawi , mpira ni sayansi.

Halafu sidhan kama SSC Ina criteria ya age, mmejaza wachezaji walio above 35 kwenye makaratasi ambao in reality wengi ni 40 hata hao kina chama. Badala ya kujaza wachezaji wenye recommended age wenye kasi na nguvu na mpira wa kisasa.

Imagine , traditional ways of doing things , benchi la ufundi eti kaekwa Janabi, seriously, kwa kazi gani? Kuja kuchoma watu sindano? Kuwaambia watu wale mihogo whole day ? Kaduguda, these old people , wanafanya nini bench la ufundi? Wanayo sayansi ya sasa ya mpira? Kina kaburu dah , hivi hatuna youth style ya kina injinia wenye kwenda na wakati na sayansi ? Halaf mnatafuta mchawi?

SSC mkitaka kumuona mchawi wenu nendeni kwenye KIOO.

Niwape tu pole , Yanga ya leo, imejengwa kwa miaka 3 mfululizo..... sasa na nyie kazi mnayo if you are to be our level hesabuni more than 3 years to come. Tena muwe na watu wa sayansi ya football or else endeleeni na mzee kaduguda na Janabi na hao old players mtafika mbali mnacho kitu
 
Eti mpaka leo wanaamini Yanga ilishinda 5-1 kwa sababu ya uchawi!! 😃

Aisee Rage aliwaza mbali sana.
 
Da hongera sana . Wangepitia post yako wangekuwa mbali. Naamini pale simba hakuna sayansi. Sajili zao for 2 years Zina flopp

Something is wrong with.
 
SSC niwasaidie kitu.

Mpira wa sasa upo kisayansi zaidi kuliko propaganda. Data hazidanganya. Namba hazidanganyi. Mpira ni Sayansi.

Somewhere somehow SSC ikae chini ijitafakari upya na sayansi inayotumia.

Asilimia kubwa ya wachezaji wa SSC ni wazee, ukizingatia waafrica wanadanganya sana umri. Hizo age zao wala sio age sahihi.

Age matters a lot in football, ndio maana mtu kama Aziz Ki kina Max wanasumbua sna beki za SSC. Mtu kama Saido since 2005 amecheza huko sweeden, hadi now anamalizia pension yake kwenye klabu kama SSC, Hussein ameshachoka , hawezi kuleta ushindani wowote serious mbele ya damu changa. Watu wenye hawa wanaamini sana kwenye kupuliza kuliko sayansi ya mpira , kina kapombe wote hao.

Chama hawa wote ni wazee wanatembelea nyota za miaka hiyo wakat wao ulishapita tuwape heshima. Boko, Mzamiru na wengineo.

Angalie usajili wa Yanga.... wapo strategically and scientifical .

SSC bado sajil zake ni traditional zenye propaganda nyingi na uswahili . No science not straitegically . Mpira sio uchawi , mpira ni sayansi.

Halafu sidhan kama SSC Ina criteria ya age, mmejaza wachezaji walio above 35 kwenye makaratasi ambao in reality wengi ni 40 hata hao kina chama. Badala ya kujaza wachezaji wenye recommended age wenye kasi na nguvu na mpira wa kisasa.

Imagine , traditional ways of doing things , benchi la ufundi eti kaekwa Janabi, seriously, kwa kazi gani? Kuja kuchoma watu sindano? Kuwaambia watu wale mihogo whole day ? Kaduguda, these old people , wanafanya nini bench la ufundi? Wanayo sayansi ya sasa ya mpira? Kina kaburu dah , hivi hatuna youth style ya kina injinia wenye kwenda na wakati na sayansi ? Halaf mnatafuta mchawi?

SSC mkitaka kumuona mchawi wenu nendeni kwenye KIOO.

Niwape tu pole , Yanga ya leo, imejengwa kwa miaka 3 mfululizo..... sasa na nyie kazi mnayo if you are to be our level hesabuni more than 3 years to come. Tena muwe na watu wa sayansi ya football or else endeleeni na mzee kaduguda na Janabi na hao old players mtafika mbali mnacho kitu
Janabi atawaambia wachezaji wanywe chai bila kitafunio kupunguza uzito...teh teh.
 
Simba wamesajili vijana wengi sana lakini benchi la ufundi lilokuwa linaongozwa na kocha mzee akawa anawatumia wazee wenzake. Mwisho wa siku wazee wenzake baada ya takribani mechi kumi hoi na yeye mwenyewe akatimuliwa. Kwenye timu una Chilunda, Kazi, Hamis, Mudi, Duchu, Mwenda bado unaogopa kuwazoesha mechi kwa kuwapa angalu dakika 10/15 kila mechi ili uwatumie mazima mbele ya safari badala yake ananza Saidoo dakika 90 na hata akitoka anaingia Boko.

Nina hakika kabisa Mudathiri wakati ule angekubali kwenda Simba angepotea mazima. Na Mzize angekuwa Simba tusingemsikia kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom