Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 341
- 542
Hivi ni kwa nini wasomi wenye background ya sayansi na engineering ndio wanaofanikiwa sana kibiashara? Angalia mataifa ya magharibi lakini pia hata africa na tanzania specifically , wasomi wengi walio succeed kwenye business wana background ya science hasa engineering. Ni coincidence tu au ni nature?