Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 151
Kale kabatani sikaoni mkuu. Ngoja tufanye manually basi hata kama mods hawataki.inakuwa tamaa kama umekuwa attracted na mmoja, then unataka na mwingine tena na tena na tena!!
Lakini kama attraction na huyo wa kwanza imeisha, unaruhusiwa kuwa attracted na mwingine tena bana!!
The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Post:
Da Womanizer(Today)