Bado hujajibu swali. Na swali lenyewe Ni hili:- nini Umuhimu wa ndoa ktk zama hizi???Ukisikia mtu anaongea negative kuhusu ndoa ujue tayari ndoa yake imevurugika, ...
na anajifariji kiaina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea umeitune vp akili yako.Bado hujajibu swali. Na swali lenyewe Ni hili:- nini Umuhimu wa ndoa ktk zama hizi???
Unamtoa outMkuu unakunywa pombe?
Kuiona stara nayo inategemea ntu na ntu. Ni subjective.Ndoa ni stara kwa waitakayo stara.
Kila jambo na wakati wake ila baada ya miaka 60 ndipo utajua umuhimu wa mwenza (mume/mke)Lengo kuu la kuingia kwenye ndoa tangu enzi za mababu ni kupata mtu wa kuchakatana naye. Ndiyo maana mahanithi hawaruhusiwi kufunga ndoa..
naidanganya nafsi?
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu. Haya si maneno yangu, Ni maandiko.Kila jambo na wakati wake ila baada ya miaka 60 ndipo utajua umuhimu wa mwenza (mume/mke)
True love is real but unconditional love ain'tThis is just a myth.
Afadhali wewe umajikita kwenye mada na umeeleza ukweli wako.Uzuri wa ndoa au kukaa na mwanamke ni kwamba muda wowote hata kama huna kitu unaweza ukachakata,....lakini hao viruka njia akina Sexless kuwakopa ni ngumu sana...kila siku sindano
I don't get even after contemplation, the difference btn the two. I will be glad if you would give it in a nutshell.True love is real but unconditional love ain't
HiNaona unadanganya wenzako humu JF
Acha mambo yako wewe mtoto. Kuna raha ya ndoa ujue.No need, indeed
Nipo ndani yake na sioni raha yake mkuuAcha mambo yako wewe mtoto. Kuna raha ya ndoa ujue.
1. Ambao hawajaoana hawafi kwa magonjwa ya zinaa?Hazina umuhimu kwanza zimeleta mambo haya
1.Kufa Kwa magonjwa ya zinaa
2.Kuwa masIkini
3.Kuwa na msongo wa mawazo
usingekuwa unaona raha yake ungekuwa ushaachana nae ukaanzishe maisha yako mkuu. Kuendelea kuwepo ni ushahidi tosha kwa kuna faida fulani unaipata ndiyo maana hutaki kung'atuka.Nipo ndani yake na sioni raha yake mkuu
Jamaa kasema ukisepa na shoka linakufuata mkuuusingekuwa unaona raha yake ungekuwa ushaachana nae ukaanzishe maisha yako mkuu. Kuendelea kuwepo ni ushahidi tosha kwa kuna faida fulani unaipata ndiyo maana hutaki kung'atuka.
Yeah I agree with youAcha mambo yako wewe mtoto. Kuna raha ya ndoa ujue.
Nadhani wengi mmekariri kwamba dhambi ni uzinzi tu. Kuna dhambi za kutenda, kuwaza na kunena. Tangu uamke mpk sasa ushatenda dhambi nyingi Sana. Ndiyo maana Kuna andiko linasema: "tukisema kwamba hatuna dhambi twajidanganya". Na ndiyo maana imekatazwa kuhukumu kwa sote tu wadhambi.ukiona kwako kuchakata ni ishu tu kama kutema mate chini just know huna Roho Mtakatifu/uwepo wa Mungu ndani yako,