Hivi ndivyo walivyo tesa Ze Komedi ufukweni

Ujinga tu na kutojitambua,wanaona wamemaliza kila kitu kuonekana kwenye tv show wakati baada ya miaka kadhaa tutaanza kusikia mabakuli,asaidiwe anaumwa sijui figo,badala ya kuinvest kwa kutumia umaarufu wao wanapiga Picha za kijinga, Picha hizi zitawahukumu baadaye............
 
Hapo ni mipango na makubaliano kamili. Wazee wa sikuhizi wanazaa watoto wa siku hizi. Kila mmoja abebe mzigo wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom