Hivi ndivyo walivyo tesa Ze Komedi ufukweni

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Picha za wasanii wa kundi la Ze Komedi zilizoonekana hivi karibuni wakiwa ufukweni na mabinti wasiojulikana, maeneo ya Kigamboni zimezusha gumzo huku familia za wasichana hao zilikija juu sababu ya “utata” wa picha hizo.
picha-ze-comedy.jpg



picha-ze-komedi.jpg



picha-ze-komedi-0.jpg






[h=3]
Manaiki+.jpg
[/h] [h=2] Masanii wa kundi la Ze Komedy Master Face akiwa na mmoja wa wasichana hao.[/h]
Manaiki+1.jpg
Manaiki+10.jpg
Manaiki+11.jpg
Manaiki+12.jpg
[h=2] Hapa msanii Kiwewe akiwa amewakumbatia wabint hao kabla ya kuingia nao kwenye maji[/h]
Manaiki+13.jpg
[h=2] MmoJa wa wasichana hao aliyejitambulisha kwa jina la Happy akiwa na kingua cha aibu kabla ya kukivua kabisa.[/h]
Manaiki+14.jpg
[h=2] Hapa tayari akiwa amechojoa nguo [/h]
Manaiki+15.jpg
[h=2]Hapa Master Face akiwa na Happy kama anavyoonekana huku wakitomasana[/h]
Manaiki+16.jpg
Manaiki+17.jpg
Manaiki+18.jpg
[h=3] Hapa Happy na Master Face na Happy wakiwa wamedata kwa mahaba.Ilikuwa ni aibu mbele ya watu[/h]
Manaiki+19.jpg

Manaiki+21.jpg
[h=3] Haya Master Face umepewa "mgongo" huo kazi kwako habati hiyooooooooo kakaangu![/h]
Manaiki+22.jpg
Manaiki+23.jpg
Manaiki+24.jpg
[h=3] Hapa Happy akiwa na msanii mwingine wa kundi hilo Manaiki Sanga kama anavyoonekana kwenye picha.[/h]
Manaiki+3.jpg
[h=3] Hapa msanii Masawe Mtata akiwa amedata na mmoja wa wasichana hao wanaodaiwa kurubuniwa.[/h]
Manaiki+4.jpg
[h=3] Manaiki Sanga akiwa amewakumbatia mabint hao.[/h]
Manaiki+6.jpg
Manaiki+7.jpg
Manaiki+8.jpg
Manaiki+9.jpg
[h=3]Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua picha zinazowaonesha wasanii wa kundi la Ze Komedi wakiwa kwenye fukwe moja ya huko Kigamboni zimezusha balaa kubwa mtaani huku familia za wasichana hao zilikija juu.[/h] [h=3]Picha hizo ambazo blog hii ilizinasa kwa gharama kubwa toka kwa mmoja wa wafanyakazi wa fukwe ya Chadibwa zilikopigwa bila kundi hilo kutambua kama walikuwa wanafotolewa picha hizo.[/h] [h=3]Habari zaidi zilisema kuwa picha tangu zimewekwa kwenye blog hii zimeanza kusambaa hadi kuwafikia wanafamilia ambao wamekuja juu huku wengine wakitaka kuchukuwa hatua za kuwashtaki wasanii hao kwa udharirishaji wa watoto wao.[/h] [h=3]Mwandishi wetu ilimtafuta kiongozi wa kundi hilo Mtanga ili kuzungumzia ambapo alipatikana na kueleza kwa ufupi " Kaka hali ya Mungu mimi sijaiona hizo picha hivyo nashindwa kueleza chochote,Isipokuwa kama kuna malalamiko yoyote toka kwa wanafamilia hao wafike ofisini kwetu tuweke sawa" Alisema Mtanga[/h]
 
Hao wanafamilia wajinga nini baada ya kulaumu mienendo ya watoto wao!! Abiria chunga mzigo wako mwendo wa digitali huu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hivi hizo picha zimepigwa bila wao kujua wakati wanaonekana kabisa wakiwa wamekaa kimapozi ili kusubiri wafotolewe!!!

mkuu Zamaulid hizi picha zimepigwa wenyewe wakiwa wanajua kinachoendelea kabisa, mapozi yakusubiria picha kabisa halafu waseme zimepigwa bila wao kujijua? je maadili yanaruhusu wao kupiga picha katika mikao ya ajabu ajabu kama yao? huu utandawazi unakimaliza kizazi chetu jamani dah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
mkuu Zamaulid hizi picha zimepigwa wenyewe wakiwa wanajua kinachoendelea kabisa, mapozi yakusubiria picha kabisa halafu waseme zimepigwa bila wao kujijua? je maadili yanaruhusu wao kupiga picha katika mikao ya ajabu ajabu kama yao? huu utandawazi unakimaliza kizazi chetu jamani dah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mkuu wangu, hata kama zingepigwa bila wao kujua (japo walijua kinachoendelea) bado huihalalishi vitendo hivyo!tunajua wanaenda kazini kumbe ndo kazi zenyewe hizi!!
 
picha-ze-komedi.jpg



Manaiki+14.jpg
Hapa tayari akiwa amechojoa nguo

Manaiki+15.jpg
Hapa Master Face akiwa na Happy kama anavyoonekana huku wakitomasana

Manaiki+16.jpg
Manaiki+17.jpg
Manaiki+18.jpg
Hapa Happy na Master Face na Happy wakiwa wamedata kwa mahaba.Ilikuwa ni aibu mbele ya watu

Manaiki+19.jpg

Manaiki+21.jpg
Haya Master Face umepewa "mgongo" huo kazi kwako habati hiyooooooooo kakaangu!

Manaiki+22.jpg
Manaiki+23.jpg
Manaiki+24.jpg
jamani jamani!!!hiyo nguo kweli ni maalumu kwa kwendea beach!!!walah kama huyu alirudi nyumbani mzima hao wanaume ni wanawake!!!!
 
na hao mabinti hawashangai kuona hao vijana wa kiume wamevaa jeans zao/ nguo zao kwa heshima kama kawaida!!wao kilicho watuma kusaula nguo ni nini!!!
 
yakiletwa yote yanayofanyika beach nafikiri familia nyingi zitaadhirika, huko beach mambo mengi yanafanyika lakini inakuwa siri ya huko


Ni kweli, kwani kuna hata wenye heshima zao huko. Ukienda huko utakutana nao na vitu wanavyofanya na totooo ni balaa utafikiri hawana watoto na wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom