Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
4G inaonekana iko vizuri.speed nzuri sana compare na wengine na pia ping nzuri. wajitahidi sasa kwenye markeing tu
Je kwa wale wa 3G nako mambo yatakuwa hivyohivyo?
4G inaonekana iko vizuri.speed nzuri sana compare na wengine na pia ping nzuri. wajitahidi sasa kwenye markeing tu
haiwezekani yawe hivyo na kama 3g ingekuwa hivyo kungekuwa hakuna haja ya 4g4G inaonekana iko vizuri.
Je kwa wale wa 3G nako mambo yatakuwa hivyohivyo?
simu yoyote yenye 4g band 1800Hivi simcard zao zinakubali simu yoyote ile.
simu yoyote yenye 4g band 1800
Ndoa ya airtel na ttcl imevunjika rasmi hawa ndio walikuwa wachawi wakubwa waliozuia investment yyte ndani ya ttcl!Mkuu kwa uelewa wangu mdogo TTCL haiweZi kutoa huduma za 1g 2g wala 3g kwa kutumia GSM hii sio kwamba wanapenda la hasha ule mkataba walioingia na celtel/airtel unawabana ku compete kwenye mobile network na airtel/celtel ila hapo kwenye 4G naona wamepata udhaifu kisheria wakaamua kuinvest....
Naona wameanza na cooperate area nawasubiria waingie mtaani nijiunge nao.....
Natamani siku Moja TTCL iwe the leading telecom company in East Africa.
Why vietell and not ttcl this is ridicoulus....
Nshukuru mkuu ngoja niitafute simkadi yao kama inaweza kufanya kazi maeneo yetu.
Na hizo simkadi ni zinapatikana mitaani au mpaka ofisini kwao.
nafkiri zitakuepo, ngoja waliotumia watakuja kuprove zaidiTTCL wana huduma nyingine kama kupiga na sms?
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo TTCL haiweZi kutoa huduma za 1g 2g wala 3g kwa kutumia GSM hii sio kwamba wanapenda la hasha ule mkataba walioingia na celtel/airtel unawabana ku compete kwenye mobile network na airtel/celtel ila hapo kwenye 4G naona wamepata udhaifu kisheria wakaamua kuinvest....
Naona wameanza na cooperate area nawasubiria waingie mtaani nijiunge nao.....
Natamani siku Moja TTCL iwe the leading telecom company in East Africa.
Why vietell and not ttcl this is ridicoulus....
Hivi mkuu kuna tofauti kati ya 800mhz lte frequency na 850mhz frequency kwa maana tigo 4G yao inasupport 800mhz sasa nimenunua simu yenye 850mhz lte frequency na ninataka kutumia laini ya tigo kwenye 4g...Je inaweza kusupport na kam haiwezi ni mtandao gani wa hapa tanzania unasupport frequency za kweny hii simu?
!
Note
Nimetuma picha kwa uhakiki zaidi
Tigo naye anarusha kwenye 1800Mhz!Kwenye 800Mhz mara nyingi kama unataka kufanikiwa coverage,lakini kwa mtandao murua na kasi nzuri ni masafa haya 1800Mhz.TDD ni nzuri sana si kama unavyodhani laiti makampuni ya huduma yangejikita kwenye TDD wangenufaika sana hasa kubania masafa,kwa mfano unapopakia na kupakua(Upload/Download) kwenye FDD unatumia masafa(Frequency)zinakuwa mbili lakini kwenye TDD unatumia Masafa yale yale bila kuhitaji masafa mengine kwa upakiaji na upakuaji.simu kama haina FDD 800Mhz au 1800Mhz hiyo achana nayo labda kama hauna ndoto ya kutumia 4G Tanzania
FDD 800Mhz ni Tigo,Zantel na Smile na 1800Mhz ni Voda na TTCL
Smart wao ni washamba wanatumia TDD ila sio big deal maana hawajiwezi
Tigo naye anarusha kwenye 1800Mhz!Kwenye 800Mhz mara nyingi kama unataka kufanikiwa coverage,lakini kwa mtandao murua na kasi nzuri ni masafa haya 1800Mhz.TDD ni nzuri sana si kama unavyodhani laiti makampuni ya huduma yangejikita kwenye TDD wangenufaika sana hasa kubania masafa,kwa mfano unapopakia na kupakua(Upload/Download) kwenye FDD unatumia masafa(Frequency)zinakuwa mbili lakini kwenye TDD unatumia Masafa yale yale bila kuhitaji masafa mengine kwa upakiaji na upakuaji.