Hivi ndivyo vifurushi vya 4G ya TTCL

Hivi ndivyo vifurushi vya 4G ya TTCL

Bei zao Zipp kiushindani au ni bado zile za kihindi manate siwahelewagi kabisa hawa jamaa na resource zote walizonazo nchi nzima yani ni jipu kubwa la kutumbuliwa
 

Attachments

  • 1451358195565.jpg
    1451358195565.jpg
    44.6 KB · Views: 126
Hainipi majibu source yako.... So who own. Another 65% goverment? Ina maana serikali imechukua kwa 100 sasa? Na kama sio nani Ana own?
Ndugu mbona kwangu inafunguka vizuri tu.
 

Attachments

  • 1451366964404.jpg
    1451366964404.jpg
    46.8 KB · Views: 114
Kuna ambaye ameshatumia line zao atupe uzoefu wake na performance ya Network ya TTCL 4G.
 
Hawa jamaa wasanii sana wanasema wale walio na simu za CDMA technology namba zao wanaweza zipoteza badala ya kufanya migration ya namba zao kwenda kwenye Gsm technology bila kupoteza namba ila may be code tu ndo ibadilike au waombe another code from tcra kwa ajili ya migration ya CDMA customers to gsm without changing anything, I mean code pamoja na phone number.
 
Last edited:
Nilinunua mobile wifi hotspot ya Huawei E5377 model:E5377Bs-605.Nilitaka kutumia 4G ya TiGo kumbe hii device haina frequency 800 inayotumiwa na Tigo.Nahisi kwa hii ya TTCL itakubali.

Nimenunua SIM Card ya TTCL ya 4G na nikatest kwenye hii mobile hotspot na inafanya kazi vizuri.Hii ndo screenshot ya speed ya TTCL 4G.
Screenshot_2016-01-13-20-28-46.png
Screenshot_2016-01-13-20-28-46.png Screenshot_2016-01-13-20-28-46.png Screenshot_2016-01-13-20-28-46.png
 
Serikali ilishanunua zile 35% kutoka Airtel na kwa sasa TTCL inamilikiwa na serikali kwa 100% kama zamani.

Serikali ilitakiwa iweke hisa 40% DSE ili wananchi wamiliki na kuipunguzia mzigo..
 
Na vifurushi vya kupiga na sms?

Nataka kuifanya TTCL iwe line yangu ya pili baada ya vodacom.
 
Back
Top Bottom