Hivi ndivyo vifurushi vya 4G ya TTCL

Hivi ndivyo vifurushi vya 4G ya TTCL

Naona wamepost kwenye page yao ya fb wanasema wanauza line za 4G ambazo ni GSM na modem pamoja na router so kidogo wamejitahidi
 
Nilinunua mobile wifi hotspot ya Huawei E5377 model:E5377Bs-605.Nilitaka kutumia 4G ya TiGo kumbe hii device haina frequency 800 inayotumiwa na Tigo.Nahisi kwa hii ya TTCL itakubali.

nimegoogle band zake ni
2600/1800/700

so itakubali ttcl
 
as far as I know devices nyingi zenye FDD 800Mhz mara nyingi zinakua na 1800Mhz

Nakupa mifano ya Samsung Galaxy J1 Ambayo Tigo wanauza 250,000/=

J1 Band properties LTE band 1(2100), 3(1800), 7(2600), 8(900), 20(800)

Huawei E3372 Modem 4G (LTE) Frequency 1800/2100//2300/2500/2600 MHz

Mziki ni TDD 2300 ambayo wanatumia Smart

So jamaa wametumia akili nzuri sana Kwa mwenye Router ya Tigo ya 4G ataweza kutitmia kwa Mitandao miwili i.e Smile na TTCL 4G

Nawapongeza kwa Hili!

so tecno ndo hazihusiki humo? vp kuhusu hizi cmu za nokia lumia?
 
Kwasasa naona wamejipanga watakuwa na 3g na 4g kwa pamoja kwahiyo watatumia Gsm !
 
Nafanyaje kujua kuwa frequency ya simu yangu kama support 4G LTE
 
hio 4g wana line? kama ndio wanatumia technology gani na band gani?

Chief-Mkwawa line za TTCL-4GLTE ni GSM ukipata line yako unatumia kwenye simu yoyote ya gsm na unapata kuanzia 2g,3g na 4g(kama simu yako ni 4g).Kwa hiyo mtalaamu wetu fanya haraka speed ni ya hali ya juu sana.Mimi ninayo na na enyoy vizuri tu!!.Pia angalia maeneo ambayo utapata LTE ni haya hapa4.

What is the TTCL 4G LTE Coverage?

In this launching phase TTCL 4G LTE will be covering some of the areas which are located in Dar es salaam region only as per the below list;
? Wazo/Tegeta
? Kunduchi/salasala
? Mbezi Exchange (Mbezi Beach)
? Mbezi Tanki Bovu
? Mwenge
? Oysterbay
? Ubungo
? Kinondoni RSU (Kinondoni)
? DSM South (Pugu Road)
? Wageni (Airport)
? Telephone house (Posta)

However, there is ongoing expansion of 4G LTE network to cover more areas in Dar Es Salaam region and some of the regions which will be mentioned in near future.
.

Ukiwa mbali kidogo na maeneo hayo basi unapata 3g na 2g.
 
itabidi niwe mzalendo na mimi.

vifurushi vya 3g ni bei zake ni kama vya cdma au kama vya 4g?
 
nimecheki ipp hii ni 4g lte na ni ya kawaida tu na band watakayotumia ni 1800mhz.

kwa uzoefu wangu hii band ni ngumu sana kuikuta kwenye simu hasa hizi zetu za bei rahisi, sababu simu nyingi zinakuja na band 800 4g.

hivyo hio asilimia 5 wanayojipangia kuipata sijui kama wataweza

Mkuu mbona kwa uelewa wangu band ya 1800 ni bwerere tu kwenyw 4G??? Tena wanakua wamepiga bao? Labda uniambie itawagharimu kwenye coverage ila upatikanaji ni cheee...

Nimesoma link hapo kuwa ttcl sirikali ina 35 na airtel ni 65...
Hii ndio inawafanya wasiende kwenye 2g na 3g upande wa gsm...

Ila kwa hili la 4g wamepiga bao...

Sijui wanatumia vendor gani nadhani kama sio ZTE ni HUAWEI maana sirikali na mchina hawajambo....
 
Chief Mkwawa msaada wako unahitajika hapa kwa specification hiz
 
Attachments

  • 1451124270544.jpg
    1451124270544.jpg
    31.4 KB · Views: 234
itabidi niwe mzalendo na mimi.

vifurushi vya 3g ni bei zake ni kama vya cdma au kama vya 4g?

Ukiwa na kifurushi cha 4g na uko mbali kidogo na BTS(mnara) basi utatumia hichohicho kwenye 3g na 2g.Vifurushi vya CDMA ni tofauti kabisa na GSM4g.
 
Mkuu mbona kwa uelewa wangu band ya 1800 ni bwerere tu kwenyw 4G??? Tena wanakua wamepiga bao? Labda uniambie itawagharimu kwenye coverage ila upatikanaji ni cheee...

Nimesoma link hapo kuwa ttcl sirikali ina 35 na airtel ni 65...
Hii ndio inawafanya wasiende kwenye 2g na 3g upande wa gsm...

Ila kwa hili la 4g wamepiga bao...

Sijui wanatumia vendor gani nadhani kama sio ZTE ni HUAWEI maana sirikali na mchina hawajambo....
yap nilikosea 1800 ipo sehemu nyingi.

mbona mdau hapo juu anasema hadi 2g na 3g wanayo gsm?

au ili waweke 2g na 3g wamewapa hisa airtel kwenye 4g?

na provider ni Alcatel lucent, hawa jamaa ni supplier wakubwa wa network marekani hivyo hope quality ya 4g itakuwa nzuri. smile pia waliwatumia hawa jamaa kama sijakosea

Alcatel-Lucent's IP and optical technologies to transform TTCL's mobile and fixed access networks in Tanzania - African Media Agency
 
Chief-Mkwawa line za TTCL-4GLTE ni GSM ukipata line yako unatumia kwenye simu yoyote ya gsm na unapata kuanzia 2g,3g na 4g(kama simu yako ni 4g).Kwa hiyo mtalaamu wetu fanya haraka speed ni ya hali ya juu sana.Mimi ninayo na na enyoy vizuri tu!!.Pia angalia maeneo ambayo utapata LTE ni haya hapa4.

What is the TTCL 4G LTE Coverage?

In this launching phase TTCL 4G LTE will be covering some of the areas which are located in Dar es salaam region only as per the below list;
?Wazo/Tegeta
?Kunduchi/salasala
?Mbezi Exchange (Mbezi Beach)
?Mbezi Tanki Bovu
?Mwenge
?Oysterbay
?Ubungo
?Kinondoni RSU (Kinondoni)
?DSM South (Pugu Road)
?Wageni (Airport)
?Telephone house (Posta)

However, there is ongoing expansion of 4G LTE network to cover more areas in Dar Es Salaam region and some of the regions which will be mentioned in near future.
.

Ukiwa mbali kidogo na maeneo hayo basi unapata 3g na 2g.

Mkuu kwa uelewa wangu mdogo TTCL haiweZi kutoa huduma za 1g 2g wala 3g kwa kutumia GSM hii sio kwamba wanapenda la hasha ule mkataba walioingia na celtel/airtel unawabana ku compete kwenye mobile network na airtel/celtel ila hapo kwenye 4G naona wamepata udhaifu kisheria wakaamua kuinvest....
Naona wameanza na cooperate area nawasubiria waingie mtaani nijiunge nao.....

Natamani siku Moja TTCL iwe the leading telecom company in East Africa.

Why vietell and not ttcl this is ridicoulus....
 
yap nilikosea 1800 ipo sehemu nyingi.

mbona mdau hapo juu anasema hadi 2g na 3g wanayo gsm?

au ili waweke 2g na 3g wamewapa hisa airtel kwenye 4g?

na provider ni Alcatel lucent, hawa jamaa ni supplier wakubwa wa network marekani hivyo hope quality ya 4g itakuwa nzuri. smile pia waliwatumia hawa jamaa kama sijakosea

Alcatel-Lucent's IP and optical technologies to transform TTCL's mobile and fixed access networks in Tanzania - African Media Agency

Hapo kwenye 2G na 3G Nina uhakika ttcl anabanwa na celtel/ airtel kucompete naye biashara kwenye mobile ndio maana anajikongoja na CDMA....

Alcatel wazuri sana tena kwenye transmission ni watu wa uhakika....

Telecom is about transimission not rf....

Ukipiga bao TX kwenye rf ni bwerere na hamna kampuni yenye network bora kama ttcl wakikimbizana na zantel....

Tuiombee makuu TTCL
 
Serikali ilishanunua zile 35% kutoka Airtel na kwa sasa TTCL inamilikiwa na serikali kwa 100% kama zamani.
 
Last edited:
Ni muda sasa TTCl wajitangaze kibiashara kuonyesha tofauti ya umahiri wa technology Yao wanayoingiza sokoni
 
Back
Top Bottom