[h=3]T-CONNECT (4G PEKEE)[/h][h=5]a) Weekly Packages[/h]
Volume 1 GB 2 GB 4 GB 6 GBPrice 3,400.00 6,500.00 10,000.00 15,000.00 Within Validity Price (Mb) 13.28 12.70 9.77 9.77 Free services Mail, Facebook, Whatsapp and Instagram (No streaming) [h=5]b) Monthly Packages[/h]
Volume 5 GB 10 GB 20 GB 40 GB 80 GB 120 GB 200 GB 250 GBPrice 25,000.00 40,000.00 72,000.00 130,000.00 240,000.00 360,000.00 600,000.00 750,000.00 Within Validity Price (Mb) 19.53 15.63 14.06 12.70 11.72 11.72 11.72 11.72 Free services Mail, Facebook, Whatsapp and Instagram (No streaming) [h=5]c) PAYG[/h]
Item Price/ MB (TZS)By Flow charges 30.60 Free Services No Free Services
[h=3]ONECONNECT (UNGANISHA 4G NA ADSL)[/h][h=5]a) Weekly Packages[/h][h=3][/h][h=5]a) Monthly Packages[/h]
Volume Converged Account Distribution Price4G Only ADSL Only4 GB 2 GB 2 GB 10,000.00 8 GB 3 GB 5 GB 18,000.00 10 GB 4 GB 6 GB 20,000.00 Free Services Mail, Facebook, Whatsapp and Instagram (No streaming)
Volume Converged Account Distribution Price4G Only ADSL Only15 GB 5 GB 10 GB 35,000.00 25 GB 10 GB 15 GB 65,000.00 45 GB 20 GB 25 GB 145,000.00 70 GB 20 GB 50 GB 225,000.00 100 GB 40 GB 60 GB 315,000.00 150 GB 50 GB 100 GB 450,000.00 Free Services Mail, Facebook, Whatsapp and Instagram (No streaming) [h=5]c) PAYG[/h]
By Flow Charges Price/ MB (TZS)ADSL 20.40 4G LTE 30.60 Free Services No Free Services
NOTE:
1. All prices are VAT inclusive 2. All prices are in TZS
hio 4g wana line? kama ndio wanatumia technology gani na band gani?
Kwa kweli sijui nijuavyo wanatumia CDMA na wengi bongo ni GSM hapo challenge ilipo. Sijui watafanyaje ili chip zao ziwe compatible na simu za majority au wabadilishe technology to gsm
niliskia cdma wamekataliwa 4g yao ndio maana nikauliza, au ule mkataba hauwazuii kutumia 4g ya gsm?
nimecheki ipp hii ni 4g lte na ni ya kawaida tu na band watakayotumia ni 1800mhz.
kwa uzoefu wangu hii band ni ngumu sana kuikuta kwenye simu hasa hizi zetu za bei rahisi, sababu simu nyingi zinakuja na band 800 4g.
hivyo hio asilimia 5 wanayojipangia kuipata sijui kama wataweza
Kwa hiyo line zao za 4g ukiwa na simu ya band yoyote unaweza nunua na kuweka na itafanya kazi. Au ni lazima ununue simu zao za 4g pia
mpaka uwe na simu yenye hio band 1800mhz na nyingi zake zinakuwa ni simu za bei ghali.
Full List of Warid 4G LTE compatible Handsets - MAG92
cheki hio list
na nafkiri wataanza kuuza line sababu wameshakuja gsm
Na wenye line za zamani na simu zao za CDMA watafanyaje? Ok mie simu yangu ina support hiyo band.
nimecheki ipp hii ni 4g lte na ni ya kawaida tu na band watakayotumia ni 1800mhz.
kwa uzoefu wangu hii band ni ngumu sana kuikuta kwenye simu hasa hizi zetu za bei rahisi, sababu simu nyingi zinakuja na band 800 4g.
hivyo hio asilimia 5 wanayojipangia kuipata sijui kama wataweza
as far as I know devices nyingi zenye FDD 800Mhz mara nyingi zinakua na 1800Mhz
Nakupa mifano ya Samsung Galaxy J1 Ambayo Tigo wanauza 250,000/=
J1 Band properties LTE band 1(2100), 3(1800), 7(2600), 8(900), 20(800)
Huawei E3372 Modem 4G (LTE) Frequency 1800/2100//2300/2500/2600 MHz
Mziki ni TDD 2300 ambayo wanatumia Smart
So jamaa wametumia akili nzuri sana Kwa mwenye Router ya Tigo ya 4G ataweza kutitmia kwa Mitandao miwili i.e Smile na TTCL 4G
Nawapongeza kwa Hili!
Mbona sielewi
Nilinunua mobile wifi hotspot ya Huawei E5377 model:E5377Bs-605E5377Bs-605.Nilitaka kutumia 4G ya TiGo kumbe hii device haina frequency 800 inayotumiwa na Tigo.Nahisi kwa hii ya TTCL itakubali.