Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

At the peak ya haya mambo niliandika mada ya uchambuzi kuhusu forex.. Sikuwa na upande bali niliandika kama uchambuzi... Dah siisahau ile mada niliandamwa mno huku nikiambiwa najua nini ni afadhali nibaki na matunguli yangu mambo ya forex niwaachie wajuzi... Mwishowe mada ikawa executed...! Sikukubali nikapambana mpaka ikarudishwa... Wale ndugu sio nao ni wahanga!?
Nakumbuka sana anko
 
  • Thanks
Reactions: uth
Forex ni halali na bado ina potential ya kukupa hela nzuri kama hauna tamaa. Mimi bado nafanya Forex sema naamini nimeiva kiasi cha kuifanya mwenyewe bila kuteteleka na hata nikiwa na mtu akianza utapeli nang'amua maana nina kitu muhimu ambacho ni knowledge na experience. Na hii imenichukua muda, haiji haraka haraka. It takes time of hard work, continues learning process, and strong determination.

Mbaya ni matapeli tu Lakini fursa mbona ni potential sana kukupa hela ambayo sio easy maana lazma ujue kutafsiri chart and graph..ukijua hilo..you are good.
sasa mkuu swali jepesi bado uko kwenye demo au live account
 
Niko kwenye live account muda huu ni muda wa kazi...!

Demo ni kwa ajili ya hawa newbies. I'm about of be Forex Guru.
mimi niko kwenye demo baada ya kuchomewa account kizembe na mentor choko
ila saizi niko poa thanks god mentor ni kichwa changu

polopol.JPG
 
Ila mliopitia TMT na nyinyi ni wajinga wa kiwango cha 5G! Wewe unatrade na JP Markets lakini ukitaka kudeposit au kuwithdraw unapitia TMT what the f**ck! Halafu tangia lini uchaguliwe brocker? Tangia lini uwe trained kwa siku tano then unaambiwa uweke 200$ na wewe unakubali?

Poleni sana
 
Back
Top Bottom