Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

IMG_20180405_190842_413.JPG
 
Mkuu Humble African kuna hawa templer Fx wanasema wana fanya trade za training kwa dola moja!! Yaani inakuwa kama demo acc ila ni real! Mi nataka hiyo ili niwe tu kama nacheza game huku naji brush!
Kuna broker kibao wanatoa demo for just free.. Tafuta demo jibrush hata miezi sita.. Ubongo una tabia ya kuadapt..utakuwa vizuri ukinipata hata Mimi nakufundisha hata bure tu kizalendo then unaendelea na hamsini zako. Its good ukiijua hii business.

Wanakupa dola hata 3000 ambazo ni non withdrawal.. Ni za kupigia jalamba tu. Hii ni Bonge la opportunity sema Ontario katutumia tu kama ngazi na kaharibu reputation yake.
 
Mpaka sasa sijatapeliwa na wala sijamhusisha roboti kwenye kutrade,

Nilinunua signals mwanzoni nikaona sio issue nikatafuta mentor wangu,

Niliona toka mwanzo staili aliyokuw anatumia mwana kufundishia haikuwa poa hata kidogo

By the way dogo ashukuliwe kwa kufungua akili
 
Kuna broker kibao wanatoa demo for just free.. Tafuta demo jibrush hata miezi sita.. Ubongo una tabia ya kuadapt..utakuwa vizuri ukinipata hata Mimi nakufundisha hata bure tu kizalendo then unaendelea na hamsini zako. Its good ukiijua hii business.

Wanakupa dola hata 3000 ambazo ni non withdrawal.. Ni za kupigia jalamba tu. Hii ni Bonge la opportunity sema Ontario katutumia tu kama ngazi na kahsribu reputation yake.
Nop! Hiyo nnayosemea unaweza kui withdraw!! Ni ya kwako,sometimes ni vyema kuji train kwa real money ili uwe serious! Unaweza kui toa kwa Mpesa kama nipo sahihi!
 
Nop! Hiyo nnayosemea unaweza kui withdraw!! Ni ya kwako,sometimes ni vyema kuji train kwa real money ili uwe serious! Unaweza kui toa kwa Mpesa kama nipo sahihi!
Kama hajawahi kutrade kabisa huwezi fika popote kwa dola 1..ili uweze kuimake hiyo dollar unapaswa kuwa professional Market killer kama akina Sandile shezi wa South Africa.

Unless kwako ukiwa na dola 100 with proper risk management unaweza kutengeneza hela nzuri in a while but only kama una medium knowledge na Forex kama hauna knowledge hata usithubu.

Margin trading involves high risk.
 
Mimi mkuu km tayar umepata knoladge nA fx tayar ujuzi umepatakan just achana na huyo tapeli na 2saidie 2 sisi elimu coz mm mpk Leo nategemea fx kuwa business ya life yangu
Relax Kwa sasa watu kibao wanajua Forex.. Ukimpata mtu competency anakufundisha na unaiva kwa hela ya maji tu kibaharia.

Hii ishu watu tukiacha tamaa ni Bonge la fursa.
 
Poleni sana ndugu wana jamii forum kwa msiba huo mzito uliowatokea.

Japo Ontario nilishawahi kubishana naye sana kupitia whatsapp na kundi lake lakini wafuasi wake wakanicheka na kunitusi mwishowe wakanitoa kwenye kundi lao la forex kupitia whatsapp, moyoni nilibaki kutabasamu nikafanya yanayonihusu unajua ni kwanini.... ?? Shetani wangu huwa haruhusu mimi kuamini na kukubali jambo lisemwalo na mtu moja kwa moja lazima niingie kusoma kwenye vitabu lakini nikaona siyo kweli hakuna pesa ya haraka haraka bila kuitolea jasho halali kuanzia kuanzia siku hiyo forex nikaachana nayo kuifatilia na sitaki kuijua, am hustle for my own..... Trust no bxtches.
 
Forex ni halali na bado ina potential ya kukupa hela nzuri kama hauna tamaa. Mimi bado nafanya Forex sema naamini nimeiva kiasi cha kuifanya mwenyewe bila kuteteleka na hata nikiwa na mtu akianza utapeli nang'amua maana nina kitu muhimu ambacho ni knowledge na experience. Na hii imenichukua muda, haiji haraka haraka. It takes time of hard work, continues learning process, and strong determination.

Mbaya ni matapeli tu Lakini fursa mbona ni potential sana kukupa hela ambayo sio easy maana lazma ujue kutafsiri chart and graph..ukijua hilo..you are good.
 
Nachoweza kusema Watanzania tubadilike ,binafsi namuona Ontario kama mpambanaji na mtafuta fursa , aliyefanyia vizuri

Naamini hakumlazimisha mtu kujiunga na TMT ni willingness ya mtu ndio alivutiwa

Tatizo Watanzania tukishindwa kupata kitu tunachotarajia tunaanza kuita mtu tapeli n.k wakati yeye katimiza wajibu wake

Nashauri Acheni kumchafua , maana hakuwavuta shati kwenda TMT
 
Back
Top Bottom