Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

yaliyopo hayafurahishi tusubiri yajayo wakuu
Vitu ambavyo sitegemei kuviona kwenye huu Uzi
1:kukutana na comment ya Ontario sijui atakuja na neno gani la kukoment na sidhani kama atafanya hivyo
2:kuona comment ni chache pia sitegemei kuona hilo kwenye huu Uzi
Piga heko Great thinker wenzetu misukule ya Ontario leo ipo huru
 
Wewe unaonekana kuanza kulielewa hili fursa kwa uzuri.

Templerfx nae haqualify kuwa broker basi tu.

huyu huwa na trade kwa ajiri ya hela za matumizi, na hua sivuki kiwango cha pesa nilichoweka, huwa natoa faida tu, na imeisha jirudisha tayari zaidi na zaidi na kila siku hua napiga si chini ya $ 50 za matumizi ya home na vijiweni
 
Niiice! Ukiijua hii taaluma unakula kiwepesi sana but haitaki kitu kimoja tu tamaa. Greedy and emotions will wipe you out immediately.
 
Mkuu I have noticed that forex is all about skills and experience not capital

Binafsi nilishapoteza almost 300 usd lakn namshkuru Mungu noe nimeanza kuona mwanga

Yesterday night I deposited 6 usd lets see nitafika wapi next week View attachment 735923
Mkuu unafungua trade zaidi ya 4 kwa mtaji wa 6 usd hapo risk management imekaa vibaya kwa mawazo yangu lakini.
 
ni kweli kabisa, alafa hii watu wanakosea wanapo ichukulia kama sehemu ya kujiongezea kipato.

mimi hii nimefanya kama ofisi, na ma document kibao, na huwa na kua naingia kama ofisini, hua siwezi kuacha trading mie niondoke huwa sifanyi hivyo, huwa nakaa hadi masaa yangu kumi yatimie. hii ni ofisi kwangu, kila ninacho fanya kinaingizwa kwenye record na mwisho wa mwezi najilipa mshahara na nyingine naicha kukuza mtaji. na soon naingia kwenye full time nataka ku quit kila kitu, nibaki na hii tu

Niiice! Ukiijua hii taaluma unakula kiwepesi sana but haitaki kitu kimoja tu tamaa. Greedy and emotions will wipe you out immediately.
 
Back
Top Bottom