Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

At the peak ya haya mambo niliandika mada ya uchambuzi kuhusu forex.. Sikuwa na upande bali niliandika kama uchambuzi... Dah siisahau ile mada niliandamwa mno huku nikiambiwa najua nini ni afadhali nibaki na matunguli yangu mambo ya forex niwaachie wajuzi... Mwishowe mada ikawa executed...! Sikukubali nikapambana mpaka ikarudishwa... Wale ndugu sio nao ni wahanga!?
Una maana ONTARIO kamkosea heshima hata brother Max?? Kweli hela mwanaharamu!
 
life has no shortcut, nafikiri hata matajiri wakubwa duniani akina Bill Gate, Jac hawakupata utajiri wao kirahisi never and ever. Life is the trend of events with ups and down, no smooth road tusidanganyane. No sweat no sweet in simple words.
Natamani hayo maneno yote niliyo bold watu wote dunia nzima wayasome...
No easy money jamani tumieni nguvu na akili zenu kupata mafanikio hata kama ni miaka 10.
Shortcut=Wrong cut
 
160 Reactions
Reply
Back
Top Bottom