[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wasabato wenyewe kama wasabato hawajielewi wako kundi gani,tafuta msabato yeyote umuulizie, mpe dak 15 aeleze misingi ya usabato,akiweza kutumia dak 4 bila kutaja Papa na kanisa katoliki,nitafute nikupe zawadi ya mwaka mpya mkuu
Nielimishwe nini ? Hata mtoto mdogo anajua hii ni ibada ya sanamuDogo unahitaji elimu ya kujitambua ili ueleweshwe usivyovuekewa kuhudmsu ukatoliki
Usiuchafue ukristoRomani katoliki ndo baba wa wakristo. Wasabato ndo nahisi si wakristo. Pole sana kaka yangu naona unatumia nguvu nyingi. Hata iconoclasm naona kwako ni shida. Ila abudu kadri unavyoona inafaa!
Wp waliandika sabato ni jumamosi karenda imekuja juzi ishu ni siku ya saba unaweza ukafanya hata jumatatu fanya kazi siku sita ya saba pumzika umeambiwa wewe na sio kanisa sema ki staharabu watu wamekubaliana ipi iwe siku ya saba ili tusali wote kwa pamoja basi kama unatafuta kalenda kwenye bibilia bora uendelee kuubiliwa na wachungaji wenu na uandike kwenye karatasi
Imekuja juz au wewe ndio umekuja juz?Wp waliandika sabato ni jumamosi karenda imekuja juzi ishu ni siku ya saba unaweza ukafanya hata jumatatu fanya kazi siku sita ya saba pumzika umeambiwa wewe na sio kanisa sema ki staharabu watu wamekubaliana ipi iwe siku ya saba ili tusali wote kwa pamoja basi kama unatafuta kalenda kwenye bibilia bora uendelee kuubiliwa na wachungaji wenu na uandike kwenye karatasi
Waliambiwa na musa au umesima kwenye mstari wa bible we uliyekuwepo B.C naomba kitabu gani nipe haya nikasome na mi nijilishishe mana bible sio gazeti au hadithi ya shigongo na iseme ivo jumamosi sabato asante nasubiri ndugu nipate elimu kama mchungaji wako alisema basi muombe mstari huo kasoma wapi au kama umeandikwa israeli na sio kwenye kitabu basi hao ni watu wa israel na sio munguImekuja juz au wewe ndio umekuja juz?
Nenda israeli waliopewa maagizo na Yehova , jumamos ni sabato
Nenda kwa waarabu , Jumamos ni sabato
Nenda kwa Waroma , jumamos ni sabato
Kalenda zote dunian jumamos ni SEVENTH DAY
Kabisaaa ushauri kuntu.Unahangaika sana....
Fanya kazi, ingiza kipato...porojo za mitaani na lesson zitakuangamiza
Eti vitabu vyetuAcha kunisomesha vitabu vyenu mlivyogeuza maneno na we tafuta vitabu kwenye lugha ya kingereza kwa mistari hiyo hiyo soma alafu uone iko sawa
Negative mind tatizo hutaki kujifunza ila upo kupondeaSi bora angeingia kutuombea?? Wanakwambia mwaka ule 1844 Yesu alipotea njia kwa bahati mbaya akaingia patakatifu hekaluni...Tangu lini mbinguni kukawa na hekalu...?? Halafu jiulize Yesu anatuombea kwa nani angali Yeye ni Mungu..?
Wanakwambia aliingia huko eti kufanya hukumu ya upelelezi(Investigative Judgement)...Tangu lini Yesu anafanya upepelezi..?
Wasabato ni vichaa..
Mr. Mangi
Usiuchafue ukristo
Sema ni baba wa upagani
Acha kupaniki mwaga nondoNaona unatoka povu. Nyie wasabato nd mnauchafua ukristo na mafundishi ya kichaa wenu white!
Ndugu hata huu ushahidi wa Roma kumuita papa cheo cha MUNGU BABA MTAKATIFU nalo unapinga?
hapana mkuu sikomoi mtu isipokuwa huo ndio ukweli ambao watu watakiwa waueleweduh maneno magumu matupu sijui ndo kumkomoa mleta uzi??
na kwako pia mkuu