lanisan wanakeshaga ck ya ijumaa lakin cku zingine atapiga kama kawaUtagonga saa ngapi?
Aiseeeee, mchore kwenye karatasi then assume unaishi naye [emoji12] [emoji12]VITU 10 NINAVYO ANGALIA KWA MWANAMKE
1. INTELLEGENCY: mwanamke mwenye akili namweshimu kuliko maelezo achana na kumpenda unconditionally( akili siyo lazima awe amesoma sana).
2. MENO: mwanamke mwenye meno makubwa ya mbele huwa nampenda sana.
3. NYWELE: Awe na nywele original na ndefu, siyo ile mikia ya farasi.
4.UREFU:Awe na urefu kwanzia 170cm.
5. NYONYO:Mwenye matt ya wastani yasiwe makubwa sana wala kidogo kama ndimu.
6. MIGUU awe na miguu mirefu isiyo minene sana au isiwe vimilonjo, iwe wastani.
7. TAKO: Awe na tako la wastani lisiwe kubwa ila limake curve avaapo nguo.
8. RATIO: Awe na hips kubwa kuliko kiuno chake.
9. TUMBO: Awe na tumbo flati au kubwa kidogo, lisionekane kwa nje.
10. MCHESHI: Huwa napenda mtu mcheshi sana, siyo muda wote anakuwa na uso kama rambo iliyolowanishwa kwa na maji
i appreciate uMi awe mlokole tu,Yule wa kukesha kanisani..
Wewe utakuwa ukisoma udom, Vila** mbona hakuna uhusiano wa vitu ulivyotaja na alama za mtoa mada. Mtoa mada amezigawa alama zake zote kwa 100% kila category, wewe unaleta ishu za course work tena, havioani kabisa asee.Duuuh! Mkuu wewe ni hatari. Mm nimeanza kuwaza mambo ya Maksi za Chuo.
1.Assignment (5marks)
2.Presentation (5Marks)
3.Tests (30 Marks)
4.Final Exam (60marks)
Inaonekana Mkia kwako unachukua maksi za Final Exams maarufu kama UE. Nyonyo aka Maziwa yanachukua maksi za tests.
Tatizo si TAKO...je ni TAKO laini au GUMU?Mimi kwangu ni TAKO mkuu yaani hata kama awe na sura kama rais wa sasa wa Sudan kusini sijali na potelea mbali ila awe na TAKO mkuu. Niliwahi kuongozana na mwana mama mmoja simfahamu toka Tegeta hadi Ferry kisa tuu alikuwa ana TAKO mkuu,kama nakosea mniwie radhi.....Shikamoo akina mama wote wenye TAKO....
Unasema kweli?Ni pm namba zako
Mbona tunaumizana hivi wakuu? Hawa mabinti ni wabongo? Wapo kwenye tasnia gani?Mbona huendi jukwaa la uchumi au intelligence? Unategemea MMU tujadili kilimo cha migomba ebo!
Hebu kapige puri kwanza akili zikurudie.
View attachment 371201
Ni kweli mkuu, hata hawa hapa ni wanachadema, teh teh teh........!!!Majizi Chadema nyuzi za hivi watachangia sana positively .
Ila nyuzi za maendeleo ni negative tu kwa kwenda mbele
Ungeanza kuuliza hivyo viwanda vitaendeshwa na umeme upi?Hivi hiyo Tz ya viwanda mitambo itaendeshwa na akina nanii?! Dooooh
Kurusha tutarusha, ila najua uwezo umeishia kurusha nazi tu!hivi tutakaa turushe chombo mwezini kama mawazo yetu ndio haya?
Mkuu shem akikesha chachi, na wewe ukishinda ktk mishe, game unapiga saa ngapi?Mi awe mlokole tu,Yule wa kukesha kanisani..
Mi awe mlokole tu,Yule wa kukesha kanisani..
Kwani na wewe vipi? Umetokea wapi?we ni ng'ombe mwenye mkia au asiye na mkia?....Majizi Chadema nyuzi za hivi watachangia sana positively .
Ila nyuzi za maendeleo ni negative tu kwa kwenda mbele
Hongera mkuu nimekupenda buree kwa mawazo yako haya, huwez kumuwekea masharti binaadam aliyeumbwa na Mungu awe Hivi awe vile, hata mwenye Tako Mungu akipanga ipo siku litamdondoka je utamuacha?Mimi mwanamke akishakua kama mke wangu tu, baaasi kwisha habari yangu. Sitaki kutaja mke wangu yukoje wasije wakajitokeza wanaofanana fanana naye wakaniweka majaribuni, kwasababu mwanamke akishafanana na mke wangu hata kwa jina tu nahisi kumpenda.
Kwa vigezo hivi vyote katengeneze wako wa udongo mkuu, maana utaja vamia gume gume babaVITU 10 NINAVYO ANGALIA KWA MWANAMKE
1. INTELLEGENCY: mwanamke mwenye akili namweshimu kuliko maelezo achana na kumpenda unconditionally( akili siyo lazima awe amesoma sana).
2. MENO: mwanamke mwenye meno makubwa ya mbele huwa nampenda sana.
3. NYWELE: Awe na nywele original na ndefu, siyo ile mikia ya farasi.
4.UREFU:Awe na urefu kwanzia 170cm.
5. NYONYO:Mwenye matt ya wastani yasiwe makubwa sana wala kidogo kama ndimu.
6. MIGUU awe na miguu mirefu isiyo minene sana au isiwe vimilonjo, iwe wastani.
7. TAKO: Awe na tako la wastani lisiwe kubwa ila limake curve avaapo nguo.
8. RATIO: Awe na hips kubwa kuliko kiuno chake.
9. TUMBO: Awe na tumbo flati au kubwa kidogo, lisionekane kwa nje.
10. MCHESHI: Huwa napenda mtu mcheshi sana, siyo muda wote anakuwa na uso kama rambo iliyolowanishwa kwa na maji
Ma ex- zangu wote walikuwa hivyo,...sababu za kuachana nao zilikubalika pande zote kama distance kubwa(hatukuwahi kugombana)...so sina haja ya kutengeneza wa udongo wakati Mungu alishatumia huo udongo kutengeneza perfect brands!!!Kwa vigezo hivi vyote katengeneze wako wa udongo mkuu, maana utaja vamia gume gume baba