Hivi ndivyo ninavyogawa maksi kwa mwanamke

Hivi ndivyo ninavyogawa maksi kwa mwanamke

Mimi nina aina yangu ya kumtathmini mwanamke, najua wapo wanaume wengi wenye mtazamo kama wangu, mimi kitu cha kwanza nachoangalia kwa mwanamke ni mkia. Hivyo basi mwanamke wemye mkia nampa maksi za juu sana na ana nafasi kubwa sana kwangu ya hata kupata ofa tu yangu kuliko asie na mkia. Mwanamke mwenye mkia kwangu tayari ana A.

Pili, maziwa, mwanamke mwenye maziwa ya wastani nampa makis ya juu sana kuliko mwenye maziwa makubwa.

Tatu, mwanamama mwenye tumbo flat nampa maksi nyingi kuliko mwanamke mwenye tumbo kubwa kama vile ana mimba, wanaume wenzangu mnajua raha ya mwanamke mwenye flat belly.

Nne, ya mwisho kabisa ni kimo, mwanamke mrefu kwangu ana maksi nyingi kuliko mwanamke mfupi, mimi short chasis sizitaki, hata mwanamke awe mzuri kiasi gani wa sura kama ni short chasis hata ofa ya soda tu hapati.

kwa kujumuisha.

1. Mwanamke mwenye mkia alama A (bila kujali akam ni mfupi au mrefu, akishakua na mkia tu moja kwa moja namfanya anakua mrefu.)
2. Maziwa ya wastani au madogo alama B plain.
3. Tumbo flat alama B plasi.
4. Mrefu alama B plasi.

Kama mwanake hafall kwenye hizo kategori ajue kabisa kwangu ana alama F kubwa. Mambo ya akili kichwani sijui shule yanakuja baadae maana mwa mwanamke sifaidi shule yake nafaidi umbile lake.

Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binafsi na sina nia ya kumkashfu mtu.
Hongera kwa kuwa mwalimu wa upuuzi
 
Mimi kwangu ni TAKO mkuu yaani hata kama awe na sura kama rais wa sasa wa Sudan kusini sijali na potelea mbali ila awe na TAKO mkuu. Niliwahi kuongozana na mwana mama mmoja simfahamu toka Tegeta hadi Ferry kisa tuu alikuwa ana TAKO mkuu,kama nakosea mniwie radhi.....Shikamoo akina mama wote wenye TAKO....
hahaha wee jamaa ni kwere..
 
Kwa vigezo hivyo nina uhakika unaangalia mtu wa kutumia mda wenu pamoja kama girlfriend wa kupunguzia uji, one night stand, friends with no strings attached lakini sio mke wa maisha yako.

Ukitaka vigezo vya kupata mke, njoo kaka zako tutakupa tips kidogo.
 
Kwa vigezo hivyo nina uhakika unaangalia mtu wa kutumia mda wenu pamoja kama girlfriend wa kupunguzia uji, one night stand, friends with no strings attached lakini sio mke wa maisha yako.

Ukitaka vigezo vya kupata mke, njoo kaka zako tutakupa tips kidogo.
Mkuu wapo wa vigezo hivyo na pia ni wife materials
 
Hivi hiyo Tz ya viwanda mitambo itaendeshwa na akina nanii?! Dooooh
 
Back
Top Bottom