VITU 10 NINAVYO ANGALIA KWA MWANAMKE
1. INTELLEGENCY: mwanamke mwenye akili namweshimu kuliko maelezo achana na kumpenda unconditionally( akili siyo lazima awe amesoma sama).
2. MENO: mwanamke mwenye meno makubwa ya mbele huwa nampenda sana.
3. NYWELE: Awe na nywele original na ndefu, siyo ile mikia ya farasi.
4.UREFU:Awe na urefu kwanzia 170cm.
5. NYONYO:Mwenye matt ya wastani yasiwe makubwa sana wala kidogo kama ndimu.
6. MIGUU awe na miguu mirefu isiyo minene sana au isiwe vimilonjo, iwe wastani.
7. TAKO: Awe na tako la wastani lisiwe kubwa ila limake curve avaapo nguo.
8. RATIO: Awe na hips kubwa kuliko kiuno chake.
9. TUMBO: Awe na tumbo flati au kubwa kidogo, lisionekane kwa nje.
10. MCHESHI: Huwa napenda mtu mcheshi sana, siyo muda wote anakuwa na uso kama rambo iliyolowanishwa kwa na maji