Hivi ndivyo ninavyogawa maksi kwa mwanamke

Hivi ndivyo ninavyogawa maksi kwa mwanamke

Na mimi sifa za mwanaume nitakazompa maksi ni:
1. Uume mkubwa, mnene, mrefu, mweusi tiii na wenye misuli
2. Pesa
3. Ajue kula 'samaki' pande zote


Kama uko hivo njoo Pm

Hapo kwenye samaki pande zote.

VIJANA wa Jamii Forum Watakufwata Wengi sana pm.
 
VITU 10 NINAVYO ANGALIA KWA MWANAMKE

1. INTELLEGENCY: mwanamke mwenye akili namweshimu kuliko maelezo achana na kumpenda unconditionally( akili siyo lazima awe amesoma sama).
2. MENO: mwanamke mwenye meno makubwa ya mbele huwa nampenda sana.
3. NYWELE: Awe na nywele original na ndefu, siyo ile mikia ya farasi.
4.UREFU:Awe na urefu kwanzia 170cm.
5. NYONYO:Mwenye matt ya wastani yasiwe makubwa sana wala kidogo kama ndimu.
6. MIGUU awe na miguu mirefu isiyo minene sana au isiwe vimilonjo, iwe wastani.
7. TAKO: Awe na tako la wastani lisiwe kubwa ila limake curve avaapo nguo.
8. RATIO: Awe na hips kubwa kuliko kiuno chake.
9. TUMBO: Awe na tumbo flati au kubwa kidogo, lisionekane kwa nje.
10. MCHESHI: Huwa napenda mtu mcheshi sana, siyo muda wote anakuwa na uso kama rambo iliyolowanishwa kwa na maji
CHUKUA 7/10 MKUUU UMENIKOSHAAA NAHISI VIGEZO VINAKARIBIA KUFANANA NA VYANGU
 
hivi tutakaa turushe chombo mwezini kama mawazo yetu ndio haya?

Urushe na nani?wewe peke yako unatosha kurusha hicho chombo mwezini kwa hiyo usipoteze muda hapa nenda karushe chombo mwezini,kazi ya kurusha vyombo mwezini Dunia nzima tumewaachia U.S na Russia hushangai Ulaya hawajihangaishi na maswala ya Mwezi.
 
Kw
Mimi nina aina yangu ya kumtathmini mwanamke, najua wapo wanaume wengi wenye mtazamo kama wangu, mimi kitu cha kwanza nachoangalia kwa mwanamke ni mkia. Hivyo basi mwanamke wemye mkia nampa maksi za juu sana na ana nafasi kubwa sana kwangu ya hata kupata ofa tu yangu kuliko asie na mkia. Mwanamke mwenye mkia kwangu tayari ana A.

Pili, maziwa, mwanamke mwenye maziwa ya wastani nampa makis ya juu sana kuliko mwenye maziwa makubwa.

Tatu, mwanamama mwenye tumbo flat nampa maksi nyingi kuliko mwanamke mwenye tumbo kubwa kama vile ana mimba, wanaume wenzangu mnajua raha ya mwanamke mwenye flat belly.

Nne, ya mwisho kabisa ni kimo, mwanamke mrefu kwangu ana maksi nyingi kuliko mwanamke mfupi, mimi short chasis sizitaki, hata mwanamke awe mzuri kiasi gani wa sura kama ni short chasis hata ofa ya soda tu hapati.

kwa kujumuisha.

1. Mwanamke mwenye mkia alama A (bila kujali akam ni mfupi au mrefu, akishakua na mkia tu moja kwa moja namfanya anakua mrefu.)
2. Maziwa ya wastani au madogo alama B plain.
3. Tumbo flat alama B plasi.
4. Mrefu alama B plasi.

Kama mwanake hafall kwenye hizo kategori ajue kabisa kwangu ana alama F kubwa. Mambo ya akili kichwani sijui shule yanakuja baadae maana mwa mwanamke sifaidi shule yake nafaidi umbile lake.

Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binafsi na sina nia ya kumkashfu mtu.
Kwahiyo Lulu michael ataambulia maksi ngapi endapo ataomba offer yako?
 
Duuuh! Mkuu wewe ni hatari. Mm nimeanza kuwaza mambo ya Maksi za Chuo.
1.Assignment (5marks)
2.Presentation (5Marks)
3.Tests (30 Marks)
4.Final Exam (60marks)

Inaonekana Mkia kwako unachukua maksi za Final Exams maarufu kama UE. Nyonyo aka Maziwa yanachukua maksi za tests.

Uchambuzi mujarabu kabisa.
 
Back
Top Bottom