Hivi ndivyo ninavyogawa maksi kwa mwanamke

Hivi ndivyo ninavyogawa maksi kwa mwanamke

Mm mwanamke mwenye HELA hata we mbaya kama Bayabo kwangu ni A
Akiwa na kazi nzuri kwangu ana B
Akiwa na motokali yake awe ananiruhusu namshusha kazini then napiga na ndinga misele huyo ana C

Awe mrembo,ana tako,ana ngozi nzuri,mrefu,mfupi LKN HANA KIPATO huyo kwangu ana F
 
Unagawa Maksi Umegeuka Supervisor Au Assistant Lecturer Mkuu?
 
Kuwa na mkia bila guu ni non proportion.
Miguu myembamba siyo rafiki machoni kwangu.
Sura + kalio = A
Paja + guu = +B
Mengineyo = B
 
Duuuh! Mkuu wewe ni hatari. Mm nimeanza kuwaza mambo ya Maksi za Chuo.
1.Assignment (5marks)
2.Presentation (5Marks)
3.Tests (30 Marks)
4.Final Exam (60marks)

Inaonekana Mkia kwako unachukua maksi za Final Exams maarufu kama UE. Nyonyo aka Maziwa yanachukua maksi za tests.
hivi tutakaa turushe chombo mwezini kama mawazo yetu ndio haya?
hata hao wanaorusha vyombo wanapenda haya mambo ile sana isipokuwa wanatenga muda kazi na mapenzi ndo tofaut ila sisi muda wote tupo vijiweni tunawaza hayo
 
Mimi nina aina yangu ya kumtathmini mwanamke, najua wapo wanaume wengi wenye mtazamo kama wangu, mimi kitu cha kwanza nachoangalia kwa mwanamke ni mkia. Hivyo basi mwanamke wemye mkia nampa maksi za juu sana na ana nafasi kubwa sana kwangu ya hata kupata ofa tu yangu kuliko asie na mkia. Mwanamke mwenye mkia kwangu tayari ana A.

Pili, maziwa, mwanamke mwenye maziwa ya wastani nampa makis ya juu sana kuliko mwenye maziwa makubwa.

Tatu, mwanamama mwenye tumbo flat nampa maksi nyingi kuliko mwanamke mwenye tumbo kubwa kama vile ana mimba, wanaume wenzangu mnajua raha ya mwanamke mwenye flat belly.

Nne, ya mwisho kabisa ni kimo, mwanamke mrefu kwangu ana maksi nyingi kuliko mwanamke mfupi, mimi short chasis sizitaki, hata mwanamke awe mzuri kiasi gani wa sura kama ni short chasis hata ofa ya soda tu hapati.

kwa kujumuisha.

1. Mwanamke mwenye mkia alama A (bila kujali akam ni mfupi au mrefu, akishakua na mkia tu moja kwa moja namfanya anakua mrefu.)
2. Maziwa ya wastani au madogo alama B plain.
3. Tumbo flat alama B plasi.
4. Mrefu alama B plasi.

Kama mwanake hafall kwenye hizo kategori ajue kabisa kwangu ana alama F kubwa. Mambo ya akili kichwani sijui shule yanakuja baadae maana mwa mwanamke sifaidi shule yake nafaidi umbile lake.

Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binafsi na sina nia ya kumkashfu mtu.
hata akiwa na sura kama waziri wa maji south sudan
Mimi kwangu ni TAKO mkuu yaani hata kama awe na sura kama rais wa sasa wa Sudan kusini sijali na potelea mbali ila awe na TAKO mkuu. Niliwahi kuongozana na mwana mama mmoja simfahamu toka Tegeta hadi Ferry kisa tuu alikuwa ana TAKO mkuu,kama nakosea mniwie radhi.....Shikamoo akina mama wote wenye TAKO....
 
Hebu weka picha yako hapa tuone. Unaweza kuwa unaweka vigezo vikubwa dhidi ya wanawake wakati wewe umefanana na Salva Kiir Mayad!
 
Wàafrika ndo mana hatuendelei.... ukimwi hauishi kamwe na dawa za ARV zipandishwe bei nyambaaafu
 
Na wewe una maksi maeneo gani?
Pesa
Mali
Elimu
Mtu wa mazoezi
Kazi nzuri
Biashara kubwa
Handsome

Upendwe kwa yepi?
 
Back
Top Bottom