Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,868
- 5,107
Manzi zako zote zina majina ya kimalayamalaya🤣
Mwenyezi Mungu kutupa uwezo wa kutengeneza mamilion ya mbegu kila siku unataka kusema alikosea.....?Poor confidentiality...Huna siri mkuu.
Imagine uliyechati naye akipita thread anakuta txt mlizochat huku kwenye nyuzi za jf hata Majina hujaficha?
Siku ukiomba ukanyimwa na txt zenu akazianika kwenye kamba za jf watu wote waone utafurahia?.
Respect your mchepukoz privacy.
Sio sifa na ushukuru umepata mwanamke anakuombea kabisa wewe uko busy kuunganisha vifaa vya mawasiliano na michepuko.
Narudia tena, SIO SIFA.
Ctrl+ QNaona unamuonea wivu penina njoo na wewe
Alt + E """Naona unamuonea wivu penina njoo na wewe"""Alt + f4
Maneno haya yamenifanya nami nicheke. Hongera sana kwa ukinyonga wako mkuu 😀 😀 😀Wakati huo deap down nikiwa nasikia hayo maombi nacheka sana kimoyomoyo ikinishinda natafuta sababu ya kucheka hivyo huwa naishiwa kuambiwa napenda kucheka vitu vya kijinga. Kumbe mwenzie nacheka mambo anayo yaomba na kinacho fanyika.
Mkuu hongera kwa kula mbunye kimasikhara; jana ugwadu wote ulikutoka aisee 😀 😀 😀Ni hapo hadi mida ya mchana ulio kolea bado nilikua sijui weekend yangu naimalizia kwa nani na kivipi.
Basi kama kawaida nikawacheki wadau wangu na kuwaeleza kuwa hii weekend na wao kama hawaelewi hivi. Kiuhalisia sisi hapa viwanja vya town tuna uzio navyo. Kifupi ukinikuta nipo kiwanja chochote cha mjini basi kuna sababu maalumu ya kuwepo hapo na sio kula bata. Hii imepelekea watu wangu wa karibu kuhisi mimi ni kondoo na sina madhara kabisa.wangenijua kama mimi ni mchafu hata hao wakina baba juma majirani walio fumaniwa na mabeki tatu ni wasafi kwangu. Hata wife anatembea kwa kujiamin na amani zote kuwa mmewe ametulia.
Yaani ukimfata wife hata umueeleze nini juu yangu kuhusu kuchepuka atakukatalia hadi asubuhi maana anaamini mumewe analindwa na maombi anayo muombea kila siku asubuhi mchana na jioni kuwa mmewe hawezi chepuka.
Wakati huo deap down nikiwa nasikia hayo maombi nacheka sana kimoyomoyo ikinishinda natafuta sababu ya kucheka hivyo huwa naishiwa kuambiwa napenda kucheka vitu vya kijinga. Kumbe mwenzie nacheka mambo anayo yaomba na kinacho fanyika.( But I do love my wife I cheat for fun) sijawahi fikiri kumuongezea mke mwenzie hata siku moja wala kumpitisha katika njia mbaya kisa michepuko....cheating is just for my own uhanangwa.
Basi baada ya hayo nikawacheki wadau wangu wa kusongesha gurudumu na uchepukaji na haya ndio majibu yao
Cathe huyu alikua busy na kazi maana nilimfanyia suprise ila alikua radhi aache kazi .
Penina huyu ni kama alikua idle akaruka na fursa moja kwa moja bila excuse yoyote na tulienjoy sana.
Anet huyu alikua kachoka na shughuli za usafi ila alikua hana pingamizi .
Hivyo hata hao wote wasinge tiki mapema basi mialiko ilikua inaendelea hadi apatikane wa kutoka nae muda huo.
NB
Sio kwamba nina hela za kuwahonga hao kama vijana wengi mnavyo pigwa vizinga hata salamu mkiwa hamjamaliza ni vile tu naishi yale maisha nilio wafundisha kuyaishi ila mmegoma mnadhani mkiwa majentromeni ndio mtakuwa mnakula utelezi kumbe wapi
View attachment 2769272View attachment 2769273View attachment 2769275
Hivi vijana wa kiume mmekuaje yaani mkisikia mwanaume kamnyandua mtu ambaye hata haufahamiani nae inawaume hivi kinawauma nini....?Alt + E """Naona unamuonea wivu penina njoo na wewe"""
Bado ujasema 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓Hivi vijana wa kiume mmekuaje yaani mkisikia mwanaume kamnyandua mtu ambaye hata haufahamiani nae inawaume hivi kinawauma nini....?
Na kwa nn mnaumia maana kama uboo kapigwa nao mtu mwingine kabisa na kafurahia kupigwa nao. Ila nyie mnaumia hivi nyie ni watoto wa kiume kweli....? Mmekamilika kabisa....?
Jaman tumuombee Russia ashinde hii vita maana machoko wamekua wengi sana