Hivi ndivyo nilivyo pata utelezi jana

Hivi ndivyo nilivyo pata utelezi jana

Unajua kuna vitu mtu inabidi ubaki navyo tu wewe mwenyewe moyoni mwako na si kuexpress mbele za watu tena wenye maono tofauti. Vitu vingine ni kujipunguzia heshima hata kama haujulikani
Hata kuitana sweetheart mbele za watu ni ushamba kama ushamba mwingine.
 
Ni hapo hadi mida ya mchana ulio kolea bado nilikua sijui weekend yangu naimalizia kwa nani na kivipi.

Basi kama kawaida nikawacheki wadau wangu na kuwaeleza kuwa hii weekend na wao kama hawaelewi hivi. Kiuhalisia sisi hapa viwanja vya town tuna uzio navyo. Kifupi ukinikuta nipo kiwanja chochote cha mjini basi kuna sababu maalumu ya kuwepo hapo na sio kula bata. Hii imepelekea watu wangu wa karibu kuhisi mimi ni kondoo na sina madhara kabisa.wangenijua kama mimi ni mchafu hata hao wakina baba juma majirani walio fumaniwa na mabeki tatu ni wasafi kwangu. Hata wife anatembea kwa kujiamin na amani zote kuwa mmewe ametulia.

Yaani ukimfata wife hata umueeleze nini juu yangu kuhusu kuchepuka atakukatalia hadi asubuhi maana anaamini mumewe analindwa na maombi anayo muombea kila siku asubuhi mchana na jioni kuwa mmewe hawezi chepuka.

Wakati huo deap down nikiwa nasikia hayo maombi nacheka sana kimoyomoyo ikinishinda natafuta sababu ya kucheka hivyo huwa naishiwa kuambiwa napenda kucheka vitu vya kijinga. Kumbe mwenzie nacheka mambo anayo yaomba na kinacho fanyika.( But I do love my wife I cheat for fun) sijawahi fikiri kumuongezea mke mwenzie hata siku moja wala kumpitisha katika njia mbaya kisa michepuko....cheating is just for my own uhanangwa.

Basi baada ya hayo nikawacheki wadau wangu wa kusongesha gurudumu na uchepukaji na haya ndio majibu yao

Cathe huyu alikua busy na kazi maana nilimfanyia suprise ila alikua radhi aache kazi .

Penina huyu ni kama alikua idle akaruka na fursa moja kwa moja bila excuse yoyote na tulienjoy sana.

Anet huyu alikua kachoka na shughuli za usafi ila alikua hana pingamizi .

Hivyo hata hao wote wasinge tiki mapema basi mialiko ilikua inaendelea hadi apatikane wa kutoka nae muda huo.

NB
Sio kwamba nina hela za kuwahonga hao kama vijana wengi mnavyo pigwa vizinga hata salamu mkiwa hamjamaliza ni vile tu naishi yale maisha nilio wafundisha kuyaishi ila mmegoma mnadhani mkiwa majentromeni ndio mtakuwa mnakula utelezi kumbe wapi

View attachment 2769272View attachment 2769273View attachment 2769275
Mbona unachati na malaya tu alafu sio lazima utume conv zenu humu ni ushamba sana asee kila mtu ananyandua alafu ww unaona dili sana. Yaani unatumia nguvu kubwa kutuaminisha vitu ambavyo hata havina maana yoyote kwetu sisi
 
Unataka usema mafunzo yote alio kufundisha baba yako na mama yako moja walikufundisha kuja jf kwenye nyuzi za mapenzi.....?

Punguza chuki na watu wenye chuki kama nyie mara nyingi ni wapiga puli watakatifu.

Naona kumla penina inakuuma haya jiandae na wewe ili moyo wako usuuzike
 
Sawa mshamba
 
Shea mawili matatu na Sisi tunaweza jua unakwama wapi
Sipo fresh Kwenye kuelezea jambo kwa maandishi, labda nakwama sababu ya Hali nilio nayo, hua nasumbuliwa na masikio issue za mausiano nakua muoga sana,nikiona kama hivi mdau kua na mademu 2/3 kwa wakati Moja hua inanishangaza flani.. [emoji2][emoji2]
 
Sawa mshamba
Penina kanitumia meseji hapa anasema hakudhani kama jana siku yake ingeisha poa hivi .na nimekua mtamu kuliko siku zote...na kasisitiza sana kusema vya suprise ni vitam sana ...haya kufa sasa
 
Cha kwanza mkuu umesha sema haupo vizuri kwenye kuandika na kwa wakati huo tena unamatatizo ya kusikia huoni kama u ajikosea. Wenyewe.

Mimi nilifikiri kwa sabubu unamatatizo ya kusikia basi utajifanyia jitihada uwe mzuri wa kuwakilisha hisia zako kwa maandishi yaani uwe mtundu kwenye kuandika.
 
Penina kanitumia meseji hapa anasema hakudhani kama jana siku yake ingeisha poa hivi .na nimekua mtamu kuliko siku zote...na kasisitiza sana kusema vya suprise ni vitam sana ...haya kufa sasa
Maajabu Mpaka sasa hujaiweka humu ila Sawa mshamba
 
Wabongo humu wanawivu sana. Yaani humu njoo na kilio umetoswa, umefukuzwa kazi au mke kazingua ndio watu wanakuona wa maana ila post unakula penzi tamu yeueueu
 
Cha kwanza mkuu umesha sema haupo vizuri kwenye kuandika na kwa wakati huo tena unamatatizo ya kusikia huoni kama u ajikosea. Wenyewe.

Mimi nilifikiri kwa sabubu unamatatizo ya kusikia basi utajifanyia jitihada uwe mzuri wa kuwakilisha hisia zako kwa maandishi yaani uwe mtundu kwenye kuandika.
Nilimanisha kuandika Maelezo marefu Mzee
 
Kwani wote tunamuomba Mungu gani.....? Ke vipi kile tunacho kiomba tunapewa kwa wakati.
Kila mtu ana Mungu wake. Mungu wako wewe sio wa kwangu mimi. Mungu wangu anatoa siri zote , mke wako angemtumikia Mungu wangu kwa uaminifu, angemwambia kila kitu unachokifanya.
Ukiwa na Imani unapata hapohapo na usipopata, Mungu anakuambia kwanini jibu ni hapana.
 
We ni bitch boy Nini?maana Kila msg naona unaomba mkaogelee
 
Ushamba namba moja ni huu wa kuitana sweetheart mbele za watu sasa mnamtambia nani....?
Sijui nikufafanulie vipi. Yaonekana bado uko na narrow mind au uko katika platforms ambayo narrative capacity yako bado ipo chini hata kuelewa vitu vidogo hivyo. Eti tunatamba kha🤣🙌
 
Back
Top Bottom