Hivi ndivyo nilivyo pata utelezi jana

Hivi ndivyo nilivyo pata utelezi jana

Hivi vijana wa kiume mmekuaje yaani mkisikia mwanaume kamnyandua mtu ambaye hata haufahamiani nae inawaume hivi kinawauma nini....?

Na kwa nn mnaumia maana kama uboo kapigwa nao mtu mwingine kabisa na kafurahia kupigwa nao. Ila nyie mnaumia hivi nyie ni watoto wa kiume kweli....? Mmekamilika kabisa....?

Jaman tumuombee Russia ashinde hii vita maana machoko wamekua wengi sana
Mpaka useme 🤓🤓🤓🙌🙌
 
Na utasema🤓🤓🤓🤝
 
Mwenyezi Mungu kutupa uwezo wa kutengeneza mamilion ya mbegu kila siku unataka kusema alikosea.....?
Kulikuwa na haja ya kuanika Majina yao?.
Siku ukiamka ukute na wife naye amepitiwa kimaskhara na muanzisha uzi na Majina yake mawili kaseviwa utajiskia vipi mkuu? Kwamba wadau wanakomenti mke wako kaliwa kimaskhara na wewe unaunganisha unamtukana kwanza mme wa huyo dada badae unashtuka ni mke wako na ukute anayekupigia yupo umbali wa radius miles45.
Turudi kwenye swali lako.
Kupewa mbegu hakuhusiani na kuwaanika watu wanaokutuliza upwiru kwenye kamba za jf. Kama kuficha ID za wapoozaji umeshindaa kuna taarifa zingine ambazo ni vital sana utashindwa kuficha na kuna siku itakucost kwa namna moja ama nyingine.
 
Nimekuelewa mkuu nitaongeza encryption techniques
 
Ni hapo hadi mida ya mchana ulio kolea bado nilikua sijui weekend yangu naimalizia kwa nani na kivipi.

Basi kama kawaida nikawacheki wadau wangu na kuwaeleza kuwa hii weekend na wao kama hawaelewi hivi. Kiuhalisia sisi hapa viwanja vya town tuna uzio navyo. Kifupi ukinikuta nipo kiwanja chochote cha mjini basi kuna sababu maalumu ya kuwepo hapo na sio kula bata. Hii imepelekea watu wangu wa karibu kuhisi mimi ni kondoo na sina madhara kabisa.wangenijua kama mimi ni mchafu hata hao wakina baba juma majirani walio fumaniwa na mabeki tatu ni wasafi kwangu. Hata wife anatembea kwa kujiamin na amani zote kuwa mmewe ametulia.

Yaani ukimfata wife hata umueeleze nini juu yangu kuhusu kuchepuka atakukatalia hadi asubuhi maana anaamini mumewe analindwa na maombi anayo muombea kila siku asubuhi mchana na jioni kuwa mmewe hawezi chepuka.

Wakati huo deap down nikiwa nasikia hayo maombi nacheka sana kimoyomoyo ikinishinda natafuta sababu ya kucheka hivyo huwa naishiwa kuambiwa napenda kucheka vitu vya kijinga. Kumbe mwenzie nacheka mambo anayo yaomba na kinacho fanyika.( But I do love my wife I cheat for fun) sijawahi fikiri kumuongezea mke mwenzie hata siku moja wala kumpitisha katika njia mbaya kisa michepuko....cheating is just for my own uhanangwa.

Basi baada ya hayo nikawacheki wadau wangu wa kusongesha gurudumu na uchepukaji na haya ndio majibu yao

Cathe huyu alikua busy na kazi maana nilimfanyia suprise ila alikua radhi aache kazi .

Penina huyu ni kama alikua idle akaruka na fursa moja kwa moja bila excuse yoyote na tulienjoy sana.

Anet huyu alikua kachoka na shughuli za usafi ila alikua hana pingamizi .

Hivyo hata hao wote wasinge tiki mapema basi mialiko ilikua inaendelea hadi apatikane wa kutoka nae muda huo.

NB
Sio kwamba nina hela za kuwahonga hao kama vijana wengi mnavyo pigwa vizinga hata salamu mkiwa hamjamaliza ni vile tu naishi yale maisha nilio wafundisha kuyaishi ila mmegoma mnadhani mkiwa majentromeni ndio mtakuwa mnakula utelezi kumbe wapi

View attachment 2769272View attachment 2769273View attachment 2769275
Mkeo ni dini gani? Na dhehebu gani?
Anapaka makeup? Anavaa wigi au anasuka Rasta?

Ukinipa.majibu hapa ,nitaelewa.
 
Mke ni sensitive issue mkuu uliza juu ya masulia naweza kupa hata Connection
Nilitaka kufahamu maana unasema mwanamke wako anapiga maombi ila inaonekana hazifanyi kazi mpaka unacheka, Sasa ndo maana nilitaka kufahamu anamtumikia Mungu yupi?

Kuhusu connection, kama utanipa michongo ya pesa itakuwa vizuri, wanawake sitaki.
 
Yani we acha tu 😃😂😂
Unajua kuna vitu mtu inabidi ubaki navyo tu wewe mwenyewe moyoni mwako na si kuexpress mbele za watu tena wenye maono tofauti. Vitu vingine ni kujipunguzia heshima hata kama haujulikani
 
Unajua kuna vitu mtu inabidi ubaki navyo tu wewe mwenyewe moyoni mwako na si kuexpress mbele za watu tena wenye maono tofauti. Vitu vingine ni kujipunguzia heshima hata kama haujulikani
Yeah ni kweli
 
Nilitaka kufahamu maana unasema mwanamke wako anapiga maombi ila inaonekana hazifanyi kazi mpaka unacheka, Sasa ndo maana nilitaka kufahamu anamtumikia Mungu yupi?

Kuhusu connection, kama utanipa michongo ya pesa itakuwa vizuri, wanawake sitaki.
Kwani wote tunamuomba Mungu gani.....? Ke vipi kile tunacho kiomba tunapewa kwa wakati.
 
Back
Top Bottom