Mbona maelezo mengi na sijayaombaSijui nikufafanulie vipi. Yaonekana bado uko na narrow mind au uko katika platforms ambayo narrative capacity yako bado ipo chini hata kuelewa vitu vidogo hivyo. Eti tunatamba kha[emoji1787][emoji119]
Hiyo ni Chai Mkuu.Poor confidentiality...Huna siri mkuu.
Imagine uliyechati naye akipita thread anakuta txt mlizochat huku kwenye nyuzi za jf hata Majina hujaficha?
Siku ukiomba ukanyimwa na txt zenu akazianika kwenye kamba za jf watu wote waone utafurahia?.
Respect your mchepukoz privacy.
Sio sifa na ushukuru umepata mwanamke anakuombea kabisa wewe uko busy kuunganisha vifaa vya mawasiliano na michepuko.
Narudia tena, SIO SIFA.