Royal Tour
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 250
- 452
Januari 3 Pentagon ilitangaza kuwa ilimuua Jenerali Qasem Soleimani
huyo kufuatia agizo la rais Donald Trump.
Kifo chake kimetelezwa kwa ustadi mkubwa ili kuhakikisha Jenerali Qaseem hatoki salama maana Marekani wanautambua uwezo wake mtu huyo kwenye medani za vita.
Inaelezwa Qasem Soleimani alikuwa kiongozi wa kikosi maalum cha jeshi la ulinzi wa Iran nje ya nchi kinachofahamika kama Quds na alikuwa kiungo muhimu katika kampeni zote za kijeshi za Iran kwenye mataifa ya kigeni, na kuwa waziri wake wa Mambo ya nje linapokuja suala la vita na amani.
Kifo cha jenerali Qaseem ni pigo kubwa kwa nchi ya Irani na imeapa kulipa kisasa kwa tukio hilo.