Hivi ndivyo Jenerali Qasem Soleimani alivyouawa na Marekani

Status
Not open for further replies.

Royal Tour

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
250
452
Januari 3 Pentagon ilitangaza kuwa ilimuua Jenerali Qasem Soleimani

huyo kufuatia agizo la rais Donald Trump.

Kifo chake kimetelezwa kwa ustadi mkubwa ili kuhakikisha Jenerali Qaseem hatoki salama maana Marekani wanautambua uwezo wake mtu huyo kwenye medani za vita.

Inaelezwa Qasem Soleimani alikuwa kiongozi wa kikosi maalum cha jeshi la ulinzi wa Iran nje ya nchi kinachofahamika kama Quds na alikuwa kiungo muhimu katika kampeni zote za kijeshi za Iran kwenye mataifa ya kigeni, na kuwa waziri wake wa Mambo ya nje linapokuja suala la vita na amani.

Kifo cha jenerali Qaseem ni pigo kubwa kwa nchi ya Irani na imeapa kulipa kisasa kwa tukio hilo.
 
View attachment 1313882

hahaha noma sana looks like call of duty modern warfare death from above mission but this is real
 
Januari 3 Pentagon ilitangaza kuwa ilimuua Jenerali Qasem Soleimani
View attachment 1313882
huyo kufuatia agizo la rais Donald Trump.

Kifo chake kimetelezwa kwa ustadi mkubwa ili kuhakikisha Jenerali Qaseem hatoki salama maana Marekani wanautambua uwezo wake mtu huyo kwenye medani za vita.

Inaelezwa Qasem Soleimani alikuwa kiongozi wa kikosi maalum cha jeshi la ulinzi wa Iran nje ya nchi kinachofahamika kama Quds na alikuwa kiungo muhimu katika kampeni zote za kijeshi za Iran kwenye mataifa ya kigeni, na kuwa waziri wake wa Mambo ya nje linapokuja suala la vita na amani.

Kifo cha jenerali Qaseem ni pigo kubwa kwa nchi ya Irani na imeapa kulipa kisasa kwa tukio hilo.
Mkuu nilpoona tu KICHWA CHA UZI nikaanza kufungua nikijisemea "Huyu Kama hajaweka video atakuwa ametupotezea muda"

Nilipofungua tu nikakimbilia kuangalia Kuna video?? Nikakutana na VIEW attachment nikatabasamu

Mkuu umeutendea haki uzi wako na neno HIVI NDIVYO...

Goite
 
Status
Not open for further replies.
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom