Hivi ndivyo Jenerali Qasem Soleimani alivyouawa na Marekani

Status
Not open for further replies.
Siku hizi risasi inawekwa sumu, rangi ya nyuklia au milipuko midogomidogo
Waliwangushia makombora aina ya Hellfire R9X (moto wa kuzimu R9X)

1578319711776.png
 
MKUU HUWEZI KUSIKIA KELELE ZA WAENDESHA HIZO DRONE....
DRONE ZOTE ZA MASHARIKI YA KATI NA AFGHANISTAN ZIKISHARUSHWA CONTROL INAACHIWA WATU WALIOKO KILOMITA ZAIDI YA 5000 KUTOKA MASHARIKI YA KATI, WAKO MAREKANI. ANAEFATUA KITUFE YUKO MAREKANI

Hizo ndege zinakuwa operated na binadamu. Na hao binadamu ndiyo walikuwa wanatoa sauti. Watu anakuwa kwenye screen wana operate kwa kutumia vitufe tu.
 
MKUU HUWEZI KUSIKIA KELELE ZA WAENDESHA HIZO DRONE....
DRONE ZOTE ZA MASHARIKI YA KATI NA AFGHANISTAN ZIKISHARUSHWA CONTROL INAACHIWA WATU WALIOKO KILOMITA ZAIDI YA 5000 KUTOKA MASHARIKI YA KATI, WAKO MAREKANI. ANAEFATUA KITUFE YUKO MAREKANI
Ni kweli ma-operator wako mbali lakini video yenye sauti ya wanavyowasiliana ni jambo linalowezekana. Kumbuka clip yake inachukuliwa na huyo huyo anaye operate via drone yenyewe na siyo na mtu aliye kwenye tukio.
 
Januari 3 Pentagon ilitangaza kuwa ilimuua Jenerali Qasem Soleimani
View attachment 1313882
huyo kufuatia agizo la rais Donald Trump.

Kifo chake kimetelezwa kwa ustadi mkubwa ili kuhakikisha Jenerali Qaseem hatoki salama maana Marekani wanautambua uwezo wake mtu huyo kwenye medani za vita.

Inaelezwa Qasem Soleimani alikuwa kiongozi wa kikosi maalum cha jeshi la ulinzi wa Iran nje ya nchi kinachofahamika kama Quds na alikuwa kiungo muhimu katika kampeni zote za kijeshi za Iran kwenye mataifa ya kigeni, na kuwa waziri wake wa Mambo ya nje linapokuja suala la vita na amani.

Kifo cha jenerali Qaseem ni pigo kubwa kwa nchi ya Irani na imeapa kulipa kisasa kwa tukio hilo.
mbona kama playstation inacezwa hapo ndugu !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ma-operator wako mbali lakini video yenye sauti ya wanavyowasiliana ni jambo linalowezekana. Kumbuka clip yake inachukuliwa na huyo huyo anaye operate via drone yenyewe na siyo na mtu aliye kwenye tukio.
Mkuu....hakunaga kelele kwenye drone...ukisikia kelele ni washambuliaji wanaotumia C135 GUNSHIP hapo chini...
1578320491335.png
1578320588528.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom