Hivi ndivyo Jenerali Qasem Soleimani alivyouawa na Marekani

Status
Not open for further replies.
Yamamoto ndo alikuwa roho ya Japan kwenye WW2 , wamarekani walifanya kitu kimoja tuu nacho ni kumtungua jamaa, tena walimuulia kwenye eneo lililokuwa linamilikiwa na Japan , Yamamoto alipokufa Japan iliyumba vibaya kwenye millitary planning na ikachezea kichapo heavy all around the Pacific..
Sawa kweli kwamba Yamamoto ndiye alimaliza nguvu za Japan kipindi hicho na wala si mabomu ya nyulia yaliyoangushwa Hiroshima na Nagasaki? Basi muda uwe mwamuzi wetu tuone kama kuondoka kwa Soleiman (R.I.P) kama ndiyo kutamaliza nguvu za Iran.
 
Kwanza UISLAM na WAISLAM Walishajipambanua Yakwamba Wao Hawausiki Na UGAIDI Ila Kuna Mataifa Ambayo Yanalazmisha UISLAM Uonekane Ni UGAIDI Nandio Maana Mpaka leo hii Hata Wewe Binafsi Huelewi Tafasiri Halisi Ya UGAIDI


pili Hakuna Mtu Anaezaliwa Nandoto Yakuja Kua Fulani Ila Hutamani Kuja Kua Fulani Baada Ya Kuona Ama Kusikia Tukio Fulani Ama Kufundishwa Mambo Fulani Juu Ya Jambo Fulani

Tatu Kuuliwa Kwa Gen Wa IRAN na Kuhusishwa Na UGAIDI Ni Mambo Yachuki Za US tu Namataifa Yawatu Wakati Ripoti Tele Zinatoka Kwamba US Wana Fadhili Ama Wameunda Makundi Ya Kigaidi Mpaka Hillary Clinton Alokua Anahombania Urais US Alikiri Hili
kwanini unafikiri dini ya kiislamu,imekuwa soft target kujivika,kwanini wasijipambanue katika adhima yao halisi au nyingine ila kupigania uislamu!!!!

silaha ni biashara ndio,vipi kuhusu wapiganaji wanamgambo wanalipwa nini!!maana tunaona wengine wanazaliwa wakiwa na ndoto kabisa ya kwenda kujiunga na wenzao huko.

leo hii genaral wa ki iran,anauwawa kwa tuhuma za kushirikiana na magaidi wanaoisumbua marekani,ipi wakati yenyewe ni sponsor wao?
Hapa Tatizo Kubwa Nikwamba Tunakua BRAINWASHED na MEDIA na Isitoshe MEDIA Zote Kubwa Ulimwenguni Zinamilikiw Na Wamagharibi

Wamagharibi wakisimama kuiaminisha DUNIA Yakwamba Wewe Ni GAIDI Watafanikiwa Kwa zaidi Ya 100% Maana Wana Uwezo Wana nguvu Wanachokifanya Wao Nikutafuta Tu SABABU....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa vip, Us iwe muoga?? Uwe muoga ukamuue mkuu wa majeshi wa adui yako tena karbu na nchi yake , thousands miles away Kutoka kwako?? Kwa taarifa yako huyo Mkuu wa majeshi ndo wa pili Kwa ukubwa Irani baada ya Raisi, huyo jamaa ndo alikuwa roho ya nchi ya Irani...
Hzo zingine ni mbinu tu za kumpata target Kwa urahisi na kumpiga , alaf inajulikana popote duniani Mkuu wa majeshi akipigwa na nchi imepigwa , ni heri afe Raisi na sio mkuu wa majeshi .....

Hata kama kutakuwa na actual combat , game field itakuwa kwenye nchi ya Iran , Kwa sasa Iran ipo pinned down pande zote , waliopo upande wa Marekani ni Weng na wenye nguvu kuliko waliopo upande wa Iran ambao ni wazee wa kubwabwaja Tu bila vitendo akina Kim , Putin na xing.....

Moja ya magenius waliowahi kutokea katika millitary warfare kwenye ulimwengu huu ni Mjapan aliyeitwa Isoroku Yamamoto alisema , "Unaweza kupambana na Us Kwa miez sita au mwaka Mmoja , lakn Zaid ya hapo lazima upigwe ", rate ya uzalishaji ya armament ya Us ni kubwa Zaid , viwanda vyote vilivyopo Marekani vimetengemezwa katika mazingira ya kwamba ikitokea vita vyote ndani ya sekunde vinageuka kuzalisha vifaa vinavyoendana na mahitaji ya kivita ...... Yaani hata wakipoteza askar 100k Leo kesho wanakuja wengine 100k wenye uwezo Sawa na waliotoweka Jana ...
Yamamoto ndo alikuwa roho ya Japan kwenye WW2 , wamarekani walifanya kitu kimoja tuu nacho ni kumtungua jamaa, tena walimuulia kwenye eneo lililokuwa linamilikiwa na Japan , Yamamoto alipokufa Japan iliyumba vibaya kwenye millitary planning na ikachezea kichapo heavy all around the Pacific....jamaa huwa wanatafuta mtu mhimu kwenye jeshi na wakishamchapa huyo mambo kwisha
Wapili baada ya RAIS Mtu Mzima Vibaya Kuitwa Muongo Ila Wewe Muongo (Jamaa Alikua wapili kwaushawishi baada ya Ayatollah)

Jambo jengine Afe RAIS Abakie Mkuu wamajeshi Hii Kanuni Umeipata wapi wakati RAIS Ndio Amiri Jeshi MKUU akifa Ujue Vita Vinakosa Msimamizi Maana Vinakosa Muelekeo RAIS Ndio Mtu Anaelindwa Na Mwenye Usalama Zaidi Katika Nchi Husika Labda Kwenye Zile Nchi Ambao Kiongozi MKUU Wanchi Yao Sio RAIS Kama Ethiopia German Israel UK n.k

Huko Kwengne Wacha Nikuache...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza UISLAM na WAISLAM Walishajipambanua Yakwamba Wao Hawausiki Na UGAIDI Ila Kuna Mataifa Ambayo Yanalazmisha UISLAM Uonekane Ni UGAIDI Nandio Maana Mpaka leo hii Hata Wewe Binafsi Huelewi Tafasiri Halisi Ya UGAIDI

UISLAMU ULIISHAJIPAMBANUA WAPI,KWAMBA HAUHUSIKI NA UGAIDI??

pili Hakuna Mtu Anaezaliwa Nandoto Yakuja Kua Fulani Ila Hutamani Kuja Kua Fulani Baada Ya Kuona Ama Kusikia Tukio Fulani Ama Kufundishwa Mambo Fulani Juu Ya Jambo Fulani

HAPA UMEELEWA NILIKUWA NAMAANISHA NINI ILA UNAJRIBU KUREFUSHA STORY.

Tatu Kuuliwa Kwa Gen Wa IRAN na Kuhusishwa Na UGAIDI Ni Mambo Yachuki Za US tu Namataifa Yawatu Wakati Ripoti Tele Zinatoka Kwamba US Wana Fadhili Ama Wameunda Makundi Ya Kigaidi Mpaka Hillary Clinton Alokua Anahombania Urais US Alikiri HiliHapa Tatizo Kubwa Nikwamba Tunakua BRAINWASHED na MEDIA na Isitoshe MEDIA Zote Kubwa Ulimwenguni Zinamilikiw Na Wamagharibi

HAPA UNAONYESHA NI JINSI GANI NI VIGUMU KUMTENGA MUISLAM NA JIHAD,HATA IWE YA KIPUUZI NAMNA GANI,UNAKATAA UISLAMU KUJIHUSISHA NA UGAIDI,LAKINI UKISIKIA MUISLAM KAUWAWA KWA UGAIDI UNAMTETEA KWA NGUVU ZOTE.WEWE MUISLAM.

Wamagharibi wakisimama kuiaminisha DUNIA Yakwamba Wewe Ni GAIDI Watafanikiwa Kwa zaidi Ya 100% Maana Wana Uwezo Wana nguvu Wanachokifanya Wao Nikutafuta Tu SABABU....
NDIO MAANA NIKAULIZA KWANINI SABABU HIYO IWE DINI,WENYE DINI YENU MLIZUBAA WAPI MPAKA IKAWA HIVYO!!!,MBONA USHOGA TUMEUKATAA WOTE NA IMEWEZEKANA!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita za kisasa watu wantumia sana teknologia, mwenye technology ya kisasa zaidi ndo anakuwa mbabe. Yale mambo ya wanajeshi kuvunja matofari sijui na nini huwezi yapiga majeshi ya hawa mabeberu ambo kilasiku wako kwenye uvumbuzi wa technology ya kijeshi. Pia tujifunze kitu kimoja kutoka vita ya iliopita ya Sadam Hussein hawa mabeberu walikuwa na maneno machache sana vitendo ndo vingi. Waarabu maneno mengi sana.
 
Status
Not open for further replies.
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom