Jerry Muro aliwakamata Polisi wala rushwa wakamfanyia mizengwe afungwe leo kawa kibaraka wao.CCM wengi ni wajinga wajinga kwani hata ambao wapo kwenye mitandao ni watumishi wa Le mutuz , Jerry muro na Cyprian msiba ni wajinga wote maana huwezi kuandika mawazo ya hao watu yakawa ya maana, kwa kifupi CCM hawataki Ruzuku yao iguswe kwani ikiguswa wengi watapata kesi.