Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

Acheni uongo wenu. Acheni Chadema wakopeshane kuendesha chama chao. Who cares? Shughulikie mambo yanayohusu fedha za na maslahi ya umma. Tumelipa kiasi gani kwenye faini ya Bombardier? hilo ni la muhimu zaidi kuliko kufuatilia mambo ya Chadema kukopa fedha kwa wanachama wao.
Hizo ni oesa za walipa kodi kutoka hazina ya taifa.

Kama unataka CHADEMA wasifatiliwe basi waambie waache kuchukua pesa za walipa kodi kutoka hazina ya taifa.
 
Mhhhh! Binafsi naona Watanzania tufanyekazi kwabidii, tusome kwabidii, Maana badokaziipo!.
 
Ukisema hapo umuhoji Mbowe,utaitwa msaliti na unachama unavuliwa,kama mnabisha muulizeni Mh Zito.
 
Nilijua tu watetezi wa aina yako watajitokeza.

Kwa kukusaidia ni kuwa upande wa CCM hesabu zake hazina matatizo ya ufisadi kama ilivyo CHADEMA.

Hata kama kungekuwa na matatizo huwezi kusema viongozi wa CHADEMA wanalipiza kile ambacho kimefanywa na serikali ya CCM!

Hizi ni fikra ndani ya akili matope!

Kwa mtaji huu haishangazi kuona siku hizi hata neno ufisadi limekuwa bidhaa adimu ndani ya midomo ya wanaCHADEMA!

Kwa mtindo huu wakipewa hazina yote ya taifa itakuwaje?
CAG amesemaje kuhusu pesa za ununuzi wa wabunge na madiwani? zina risiti sahihi?
 
Mbowe anaikopesha CDM 2 billion, tena kwa riba kali hapa lazima kuna mgongano wa ki maslahi. Huyu “Kim Jong Un” wa CDM akipewa nchi atafilisi kila kitu.
Haaa haaaa ati nae analilia Ikulu mahala patakatifu na makandokando yote hayo. haki ya nani mtafilisiwa nchi nzima
 
Hapa ndipo utajua rangi halisi za hawa wahuni
Watetezi wote wamekuja na hoja kwamba ccm wanaiba
Kwa chama kinachotaka kukamata dola,wizi kama huu,hakifai kuchaguliwa kabisa
Hebu kabla ya kusema hivi ungeleta na hesabu za CCM kujua bora iko wapi
 
Nilijua tu watetezi wa aina yako watajitokeza.

Kwa kukusaidia ni kuwa upande wa CCM hesabu zake hazina matatizo ya ufisadi kama ilivyo CHADEMA.

Hata kama kungekuwa na matatizo huwezi kusema viongozi wa CHADEMA wanalipiza kile ambacho kimefanywa na serikali ya CCM!

Hizi ni fikra ndani ya akili matope!

Kwa mtaji huu haishangazi kuona siku hizi hata neno ufisadi limekuwa bidhaa adimu ndani ya midomo ya wanaCHADEMA!

Kwa mtindo huu wakipewa hazina yote ya taifa itakuwaje?
Wala haiwapi shida cdm na wale wenye uelewa mpana lkn kwa wale ambao ni mkumbo wenye ushabiki wasiojua kutambua jambo kama ww radhma mtahangaika sana juu ya mpango mkubwa unaofanywa na serikali namna ya kutaka kukidhalilisha chama lkn sizani kama itakuwa kwakuwa watu wanajua mpango huo cuf lipumba walichukua pesa tena nje ya utaratibu na wakatumia acount binafsi ambapo ni kinyume cha sheria na matumizi yake ni fedha kugawanwa je hilo hakuliona huyo mzee mwenye mamnvi mashavuni asie na aibu mwili jumba misiri ya tembo lkn hatofanikiwa na ukibaraka wake safari iko palepale.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Usitumie nafasi ya watu kutokujua mambo ya kihasibu kupotosha hoja za CAG Katika ripoti yake ambayo imetoka ikihitaji majibu.

Huo ni mfumo wa Audit query ambayo ni kuwa anahitaji majibu ambayo hajapata na hajasema ni wizi.

Chama kukopeshwa sio dhambi ila anataka mkataba wa makubaliano ya mkopo anaone hivyo huyo ni kazi ya Kamati kuu (kulingana na utaratibu wa Chadema) kuweka mezani kwani hayo yalikuwa matukio ya wakati wa uchaguzi ambayo ni dhahiri yalikuwa yana udharura wake.

Hilo la milioni zaidi ya 700 kuwa na nyaraka pungufu nalo unaliweka hapa kama wizi? Your head must be examined! Kihasibu ajabu ni nini hapo? Mbona hayo yote uliyotaja kihasibu, kwanza sio wizi (audit query) pili ni madogo sana kitaasisi.

Huwezi kulinganisha na chama chenu katika uendeshaji wa shughuli za fedha na Mali, kama umesoma gazeti la Jamhuri (mwenye soft copy atuwekee) toleo la mwisho kuhusu kamati inayofuatilia Mali za chama chini ya Dr Bashiru utajua tofauti iliyopo.

Ndani ya ccm watu wamebadili mpaka hati za majumba, viwanja nk na kuwa Mali za familia zao. Sehemu Kodi ya chumba cha biashara ni 400,000 lakini chamani zinaenda 30,000 huyo ni kila mahali. (Someni; Mtifuano ndani ya CCM)
Hiyo ripoti itakapo toka kama itakuwa wazi basi ndio mtajua tafsiri ya wizi halisi tofauti na Audit Query ya CAG.

MsemajiUkweli usitumie uelewa mdogo wa wengi kuhusu ripoti za CAG kwa propaganda za kisiasa kwa kuchomoa baadhi ya vifungu kuchafua watu.

Ni sawa na muhubiri anaye chukua mstari mmoja mmoja wa vitabu vya dini kupotosha waumini kwa manufaa yake.

Hahaaaaa Embu waza report hiyo hiyo ingekuwa ni juu ya CCM ungekuja kwa Gia gani hapa?
 
Wala haiwapi shida cdm na wale wenye uelewa mpana lkn kwa wale ambao ni mkumbo wenye ushabiki wasiojua kutambua jambo kama ww radhma mtahangaika sana juu ya mpango mkubwa unaofanywa na serikali namna ya kutaka kukidhalilisha chama lkn sizani kama itakuwa kwakuwa watu wanajua mpango huo cuf lipumba walichukua pesa tena nje ya utaratibu na wakatumia acount binafsi ambapo ni kinyume cha sheria na matumizi yake ni fedha kugawanwa je hilo hakuliona huyo mzee mwenye mamnvi mashavuni asie na aibu mwili jumba misiri ya tembo lkn hatofanikiwa na ukibaraka wake safari iko palepale.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Makubwa. ....reality vs facts?????
 
Mkaguzi Mkuu wa serikali(CAG) ameanika wazi jinsi ambavyo mabilioni ya pesa za CHADEMA yanatafunwa bila huruma na wajanja wachache huku chama kikiendelea kuwa na ofisi Kuu katika kibanda kwenye mtaa wa Ufipa Kinondoni wakati huo huo Mbowe akidai chama hakina pesa za kuwalipa watumishi mikoani na wilayani.

Haya yamebainishwa katika repoti ya ukaguzi ya mwaka wa fedha 2016/2017.

Hii inazidi kudhihirisha kuwa CHADEMA ina wenyewe kwa sababu hakuna kiongozi au mwanachama atakayethubutu kuhoji sana sana watajitokeza wapambe wake kumtetea kwa kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu za hoja.

Kwa mtaji huu wa kujichotea pesa bila kuulizwa au kuwajibishwa, Mbowe hawezi kuachia nafasi ya Uenyekiti wa Chama Taifa!

Kinachoshangaza zaidi ni kuwa CCM ya sasa katika ukaguzi huu haina ufisadi kama wa CHADEMA pamoja na kwamba ni chama kikubwa na chenye pesa nyingi na miradi mingi.

Kwa maelezo zaidi nimekuwekea hapa chini sehemu ya uozo ndani ya CHADEMA uliobainishwa na ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ya serikali 2016/17.

View attachment 741889
View attachment 741896
View attachment 741901

We ni punguani chama kina wadhamini na wao ndo wasimamiaji wa pesa, mbowe ni mwenyekiti tu.mbona huyo punguani wenu anatumia kodi zetu kuendeleza kwao na kuajiri ndg zake na kuwapa tenda zote husemi au nawe ni punguani kama yeye
 
ccm mtabuma tu, porojo zenu zina mwisho. Hakuna wezi na watafunaji kama ccm. za kununua wapinzani wanapata wapi? si ruzuku inatumika?
UBADHIRIFU NI UBADHIRIFU TU HATA UFANYWE NA MCHUNGAJI UNABAKI KUWA HIVYO. KUTETEA UBADHIRIFU WA AINA YEYOTE ILE NI UNAFIKI AMBAO HAUSAMEHEKI HATA KWA MUNGU. TUACHE USHABIKI WA KIPUUZI KWANI NCHI HII NI YETU WOTE NA HIZO PESA NI KODI YETU. HIVYO YEYOTE ANAYETUMIA PESA HIZO KINYUME NA UTARATIBU NI UFISADI
 
Wale wa buku 7 wamepata sehemu ya kupumulia! Mizoga yote ya Lumumba yote imo humu. Huwezi waona kwenye zile nyuzi nyingine. Kama kweli ufisadi unawauma njooni mchangie na hizi nyuzi nyingine basi
 
Back
Top Bottom