Hivi ndege ya rais aliyonunua Mkapa iko wapi?

Ni nani rubani anaemwendesha JK.Atakuwa mahili.Jamaa atakuwa amekula kuku,baada ya JK kumaliza urais wake
 
Mu-7 ,dictator wa Uganda anazo mbili,ya zamani GIV-Sp na mpya kama ya JK G550.

Huyu (MU-7)ndio mbaya kwa matumizi ya Presidential Jet.
Kuna kipindi alimrusha binti yake siku chache kabla ya kujifungua ,UJERUMANI eti hakuamini Hospital za Uganda kwa usalama wa family yake.
Ndio AFRIKA yetu.
 
Tusibishane mkubwa boya wewe hapa http://www.gulfstream.com/products/g550/specifications.htm hiyo yako haibofyeki.....wana sema inabeba 8 pax...hii ni business jet siyo precisionair

Mkuu.. Unapotaka kununua hizi ndege, either presidential or private jets, wewe ndio unasema unataka iweje ndani.. Yaani seat config. nk. Ya Rais wetu, iliwekwa kubeba watu 18 na sio 10.. G550, ina uwezo wa kubeba abiria 8 - 20. Na matumizi ya mafuta, nenda Rolls royce BR 710. Hii ni aina ya engine iliyofungwa kwnye G550 zote. Kuhusu usalama, hata alipokuja Bush, alikuja na walinzi wake.. Hilo halina mjadala.
 
Back
Top Bottom