Hivi ndege ya rais aliyonunua Mkapa iko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ndege ya rais aliyonunua Mkapa iko wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ubungoubungo, Mar 22, 2010.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  WAKUBWA, HIVI ILE NDEGE ALIYONUNUA MKAPA NA MRAMBA NDO ILE ANAYOTEMBELEA KIKWETE? AU WALIIPAKI SEHEMU, NAOMBENI UPDATES, wengi humu hatujui.
   
 2. Kiwalani

  Kiwalani Senior Member

  #2
  Mar 22, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ndiyo hiyo hiyo anayotumia JK; kwani ndege za Rais ziko ngapi?
   
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ok, kumbe ndo kale kandege kenyewe, sasa mbona kalinunuliwa kwa garama sana? yaani ndo kale, mi nilifikiri kuna ingine ndo maana nikauliza, kweli nilikuwa seriuos.duh! tuliingizwa mjini kwakuu.
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Nilisikia imegongwa na gari ya usalama wa taifa, wameshaikarabati?
   
 5. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,623
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ndege iko salama na JK anaitumia sana kwa safari za ndani ya Africa na chache za nje ya Africa.
   
 6. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ile ndege haitumiki, ................kikwete hajawahi kuitumia hata siku moja, ...................ina tatizo la kuyumba angani .......................hivi karibuni ilipata ajali ya kugongwa na gari na bado nhaijatengenezwa achilia mbali kuoshwa kupunguza vumbi........... ukitaka kuiona nenda karakana ya TGFA karibu na terminala one JNIA ............ kwa maelelz zaidi juu ya nini kilichoisibu, wasiliana na TGFA sokoine drive, dar................
   
 7. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,623
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  no no no no nooooooooo uooongooooooo!!!!!
   
 8. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,729
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Gulfstream hiyo! Hata mimi nilisikia haitumiki kabisa.
   
 9. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,623
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145

  Nakumbuka kama alienda nayo ile safari ya Uswisi (Economic Forum) ambapo alipitia Libya kwa Muamar Gadaffi.
   
 10. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2010
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  the plane inatumika mara nyingi tu, JK anaitumia for european trips pia, inatumika na pia VP na PM...nenda airliners.net and search photos utaona some recent pictures Tail code yake ni 5H-ONE
   
 11. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Binafsi mimi sina taarifa kuhusu ndege hii, tunawategemea wadau mtufahamishe kuhusu suala hili. Na ingekuwa vyema tukaacha ushabiki na tufahamishane ukweli kwani zimelala kodi zetu pale na kama tunavyofahamu ilinunuliwa kwa bei mbaya sana.
   
 12. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 20,506
  Likes Received: 11,764
  Trophy Points: 280
  hio ndege RAIS alikwenda nayo TURKEY recently,imegongwa lini?au ni baada ya ziara yake ya turkey??
   
 13. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 20,506
  Likes Received: 11,764
  Trophy Points: 280
  Hii nayo kali,inakuwaje ndege inagongwa na gari??kweli kuna vitu vinatokea Tanzania tu!!!!
   
 14. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  It doesn't make sense, unaenda ulaya most probably kuomba hela halafu unapanda ndege "ya raisi"? Akipanda first class za commercial airlines hatafika?
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,487
  Likes Received: 826
  Trophy Points: 280
  Kama uongo tupe ukweli basi!
   
 16. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Wewe ndio umesema kweli manake hapa tungebishana mpaka basi tena! Ndege ipo and as of recent ilikuwa Zurick Jan 31 mwaka huu
   
 17. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,543
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  Sasa tusadiki la nani?kila mtu anasema lakwake kama mtu huna uhakika na unachokisema si ukae kimya,ndio maana tuliambiwa tutakula hata majani sababu hatuelewi
   
 18. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #18
  Mar 22, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,334
  Likes Received: 1,692
  Trophy Points: 280
  si kweli !! ndege ya nchi ...GULFSTREAM 2004 model...ipo kwenye hali nzuri kabisa [airworthness]...ina uwezo wa kusafiri masaa 18 bila kutua au kuhitaji kuongezewa mafuta...kwa maana nyingine rais akitaka anaweza kwenda moja kwa moja pwani ya mashariki ya marekani bila kusimama mahali....

  ni ndege ndogo lakini ya kifahari[haiwezi] kuyumba ovyo....ina facilities za usalama na detection mechanism...,kachumba ka ofisi/kulala..viti venye nafasi ,maliwato...sehemu ya kuhifadhi vyakula na refreshments....sina uhakika sana lakini inabeba watu 10 hadi 12....

  watu wa usalama wanasema kuwa rais huitumia saana kwa safari za ndani afrika,au mabara ya jirani....[juzi alienda nayo turkey na jordan]...nadhani mwanzoni alikuwa anahitaji kujipanga kabla ya kuanza kuitumia....[hata marekani rais akiingia ndege huwekewa "furniture" mpya...hata hivyo wanatonya kuwa sababu kubwa kuwa haendi nayo ulaya ..ni kuwa haiwezi kubeba delegation yote[jk husafiri na delagation kubwa kuliko waliomtangulia].....nadhani ni nafuu kwake kupanda ndege ya abiria na ujumbe wake ...mara nyingine husafiri na watu hadi 100.....,pia ikiwa safari za mbali hula mafuta mengi,na kuna gharama za parking etc[sasa ukizingatia haiwezi kubeba watu wote anaohitaji kuwa nayo ndio maana haitumiki kwenda ulaya]

  safari za afrika hazihitaji wasaidizi wengi...wala hazivutii umati wa "wafanyabiashara" wanaodandia lift ya rais...so inamtosha sana...

  JAMBO lingine muhimu kwa nchi yetu ni kuwa rais anahitaji helikopta maalum....wakipata moja ya rais ,nyingine ya security detail na nyingine makamu/waziri mkuu/mawaziri..itasaidia sana kurahisisha utawala......pia itasaidia nchi iwe kiganja.....ndani ya mwezi mmoja rais anaweza kuamua kulala katika ikulu zake zote [nchi nzima]....bila kuhitaji ziara maalum au kuchoka....,na pia itaondolea wananchi adha ya foleni....hata marekani ili rais anatumia helicopter ...anaweza kufanya kazi DC akalala Kemp david au sehemu yeyote yenye makazi yake bila kuhitaji kutangaza ziara rasmi...hata majirani zetu kenya na uganda wanatushinda ....state house zao wanazo helicopter za kisasa kabisa....zinazoenda kasi..za utawala mbali ya zile za jeshi,polisi na askari wanyamapori....Tanzania yetu hata ndesamburo anakuwa na helicopter nyingi kuliko serikali....shame!!! he have two..police have one working...,and jeshi have one or two working...,watu wa misitu[tanapa] hawana...wana ndege ambayo haukuwa uamuzi mzuri ukizingatia diverity ya mbuga zetu na unajuwa hakuna airstrip kwetu....sometimes they need to innoculate animals huwezi kufanya na ndege..poor planning!!
   
 19. m

  major mkandala Member

  #19
  Mar 22, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aliondoka nayo !!!ujui yule bwana akuacha kitu hadi wale tausi wa ikulu aliomba apakiziwe kwenye gari....
   
 20. m

  major mkandala Member

  #20
  Mar 22, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iko pale lushoto mi nimeiona juzi live wafanyakazi wakiiosha mabawa
   
Loading...