ndege ya rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ndege ya Rais wetu Gulf Stream iko wapi??

    Nani anajua ndege ya serikali maalum kwa Rais aka Gulf Stream iko wapi? Na kama ipo mbona mkuu wa nchi haitumii kwa safari zake badala yakeainatumia ATC Dreamliner?
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Godfrey Polepole: Ndani ya siku 4 nitaweka wazi ufisadi wa ndege ya Rais

    Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole. Yetu masikio.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais wa Marekani yapata hitilafu ikiwa angani na kutua kwa dharura

    Ndege ya Rais Marekani Air Force One imelazimika kurudi kwenye Joint Base Andrews kutokana na “tatizo dogo la umeme,” kulingana na Afisa wa Ikulu ya White House. Rais wa Marekani Donald Trump bado anatarajiwa kwenda Davos, Uswis na amelazimika kupanda Ndege ya akiba. Kulingana na taarifa za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ndege ya Rais wa Zambia ilivyotumika kwenye ufisadi mkubwa wa kutisha

    Leo mjini Lusaka, Zambia kumekuwa na gumzo la aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Mh Joe Malanji kupatikana na hatia za ufisadi mkubwa wakati wa utawala wa hayati Edgar Lungu. Kahukumiwa miaka minne jela. Walichofanya Malanji na wenzake ni kutafuna takribani USD 11,000,000 pesa za umma zilizokuwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania A right thinking Leader of a country unaweza kulipia kila goli 5M, kununua ndege ya Rais etc wakati una madarasa mabovu kwa watoto wa taifa lako?

    Angalia maajab ya viongozi wetu. Una Rais analipa kila goli 5M wakati tuna watoto wa taifa hili wako ndani ya kitu kama hiki eti ni darasa! Tukiandika wanasema sisi wachochezi... hapana, hakuna mwenye nia mbaya na taifa ltu ni kutaka kukumbushana wajibu na si kuwa machawa! Naamini kama siyo...
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

    Zilianza kama tetesi: Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

    Tanzania inadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya Rais. Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka 2019, na ina uwezo wa kukimbia kwa zaidi ya 990km/hr, karibu sawa na spidi ya Boeing Dreamliner...
  8. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Uturuki yazuia ndege ya Rais wa Israel kukatiza kwenye anga lake

    Rais wa Taifa la Kigaidi la Israel amepigwa marufuku kukatiza katika anga ya Uturuki baada ya kualikwa kwenye mkutano wa COP 29 summit huko Baku Azbaijan. Turkey effectively blocked Israeli President Isaac Herzog from attending the COP29 summit in Baku earlier this week by refusing to allow his...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani yaikamata ndege ya Rais Maduro wa Venezuela

    Kila baada ya muda fulani nchi ya Marekani huwa inafanya mambo ambayo yanazidi kuishushia hadhi nchi hiyo. Mambo hayo ni yale inayoyapinga kufanywa na wenzake. Inaua sana kila nchi lakini wengine wakifanya hivyo huitwa magaidi. Leo imeteka ndege ya raisi mzima wa nchi ya Venezuela kisingizio...
  10. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania KWELI Ndege ya Rais yaonekana Dubai, leo Julai 28, 2023

    Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia! Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Hivi, ndege ya Rais aliyonunua Mkapa iko wapi?

    WAKUBWA, HIVI ILE NDEGE ALIYONUNUA MKAPA NA MRAMBA NDO ILE ANAYOTEMBELEA KIKWETE? AU WALIIPAKI SEHEMU, NAOMBENI UPDATES, wengi humu hatujui.
Back
Top Bottom