Kama viongozi wa dini wasichanganye siasa na dini mbona wanawatumia

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,738
Kuna sheik mmoja kaeleza kuhusu serikali ya mama na kusifia anayo yajua yeye.
Ila kitu kimoja ukisifia bila kukosoa sio siasa ila ukikosa ni siasa.
Naomba kitendo Cha kuwapa na misaafu na biblia waache maana wanachanganya serikali na dini.
Pili wakiona mambo mabaya kwa nini wanakimbilia kwa viongozi wa dini kama sio siasa.
 
Ndugu elew kuwa hapo ulipo uko kwye dola ama ngome ya kidini huwez kufanya jambo bila kuhusisha dini, ni laima dini ihusike kwa mkazo mkubwa maan imeshikilia iman ya watu wengi dunian
 
Kuna sheik mmoja kaeleza kuhusu serikali ya mama na kusifia anayo yajua yeye.
Ila kitu kimoja ukisifia bila kukosoa sio siasa ila ukikosa ni siasa.
Naomba kitendo Cha kuwapa na misaafu na biblia waache maana wanachanganya serikali na dini.
Pili wakiona mambo mabaya kwa nini wanakimbilia kwa viongozi wa dini kama sio siasa.
Usiwaamini wanasiasa wa CCM hata siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom