Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
haoni mie na BAK tunavyoungama, leo ni leo.
Ila mbona wee EMT huungami?
Ila mbona wee EMT huungami?
Toa ushuhuda wako.
Toa ushuhuda wako.
hata mie siyajui, ila ndo tulikuwa tunaambiwa tusicheze na wavulana watatufundisha hayo.
kweli utoto una raha yake.
Yaani siku nilikuwa nikipata barua ya Zakayo, siifungui hadi muda wa kulala, kila neno nalirudia mara saba.
ha ha ha, aliona namchosha akanipiga chini bana.
Yaani huyu Zakayo, nikienda kijijini naenda kumsaka kwa udi na uvumba.
haoni mie na BAK tunavyoungama, leo ni leo.
Ila mbona wee EMT huungami?
Zakayo kaleta mambo ....ukishamaliza kuisoma furaha tele na roho yako nyeupeee LOL! Kupendwa/kupenda raha sana.
Itabidi ukamtafute fasta umkumbushie.
Ila sidhani kama itakuwa tena nataka sitaki
Ni either way or the other.
Mie nilikuwa shy kuwatongoza live.
So nilikuwa nawatwangia barua tuu.
ha ha ha, enzi hizo hakuna kuchakachua.
Ni kweli tupu, ukimaliza kuisoma naficha kwenye nguo lol
EMT, njoo ukonfesi all your sins.
Ngoja klorokwini, Asprin na Bishanga nao waje.
He he he, Natasha mwenyewe naskia ndo Mwali.Itabidi ukamtafute fasta umkumbushie.
Ila sidhani kama itakuwa tena nataka sitaki
Ni either way or the other.
EMT said:Mie nilikuwa shy kuwatongoza live.
So nilikuwa nawatwangia barua tuu.
....lazima uifiche bana maana mama akiiona basi kesi imefika kwa Baba na hapo kibano chake utatamani ardhi ipasuke
ha ha ha, enzi hizo hakuna kuchakachua.
Ni kweli tupu, ukimaliza kuisoma naficha kwenye nguo lol
EMT, njoo ukonfesi all your sins.
Ngoja klorokwini, Asprin na Bishanga nao waje.
dah, yaani umenipatia hii picha.
Ila mie nilikuwa nakutana naye nikiwa natoka mashine ya kusaga unga.
Huyo Mwalimu mbaya sana, hajui baolojia ina nafasi yake?
hahahahahah lol! watu wameamua kufunguka leo kwenye huu uzi duh! barua ya miaka 18 iliyopita...we mtunzaji mzuri sana....lakini hii inaelekea haikumfikia Natasha ndio maana unayo hadi hii leo
Njemba Zakayo ikikuona umeenda kusagisha tu basi inatega mtego wake kukusubiri sehemu sehemu
afu siku moja akamtuma mdogo wake wa kike aniletee ujumbe wa tukutane mahali fulani.
Mdogo akaja vizuri, akaniulizia akaambiwa nimetoka, si akamwachia mama kile kibarua.
Imagine aibu nilopata, uzuri maza hakunisema kwa baba ningeuawa.