majah moneh
New Member
- Jun 16, 2017
- 3
- 1
Hiv ni nani ambaye amewahi kumuona Mzee majuto wakati akiwa kijana au ameanza kuigiza ameshakuwa mzee
Alikuwa anatumia jina la King Majuto, enzi hizo za vikundi vya maigizo kama Bima Mordern Taarabu, DDC Kibisa, Makutano Cultural Troupe n.k. akiwa na kina Batholomeo Milulu, Branco Minyugu, Nyonganyonga n.k...Hiv ni nani ambaye amewahi kumuona Mzee majuto wakati akiwa kijana au ameanza kuigiza ameshakuwa mzee