Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
we toka tu povu lakini mji wenu, hovyo out of touch na dunia. Mara sabini ata arusha. Very diplomatic, very civil. Mwanza kwanzia leo mi kwangu ni mji mkubwa tu lakini hauna tabia za majiji ya dunia niliyotembea. Yani ni out of touch na ulimwengu.

Umetembea majiji gani ya dunia?@ dopeboy
Cinema ndio inafanya jiji liitwe jiji na nakumatti jamaa jinga kweli kweli
Pamoja na usomi wako na kuchaguliwa kuingia chuo hujui nini maana na Jiji???
Hebu rudi shule ujue maana ya Jiji kwanza. ...
Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
kipimo na ujinga na upumbavu ni kuishi kwa fikra za kuamini katika movie...stop being stu.pidy
Japo una point jifunze kujenga hoja!
1. Ni vigezo gani vinatumika kufanya sehemu fulabi kuwa jiji?
2. Let's get back to what you just said about Dar Es Salaam and Arusha, hivi wakati Dar inafanywa kuwa jiji, ili kuwa na shopping mall, supermarkets, 'online city advert ngapi'?
Au ilikuwa ni kutueleza umefanikiwa kuchaguliwa chuo Mwanza.
Hapa Dar yenyewe Shopping Mall za kuhesabu(In comparison na Kisumu tu leave Nairobi out of the picture) sasa unaongea nini wewe?
Nyamaza ww mjinga watu tumekimbia machame tumekuja kula maisha mwanza bwn
Kamata Ngosha mmoja then peleka Arusha walau wiki tu usikie atasema nini...
Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
Kaka i have been around kidogo, wacha uongo, kisumu na dar? acha zako.