Hivi Mwanza nalo Jiji?


Ishu siyo geographia na demographics na population etc, ishu ni kwamba sioni kama nipo kwenye modern , urbanised city! bora mara mia Arusha. Yani naona kama nipo nje kabisa disconnected na dunia. Hovyo kabisa. watu hawana ile ata urban taste. Dissapointing.
 

Pole fuata yaliyokupeleka huko hapo ulipo hujielewi mwanza imekuwa jiji since 2000 ina maana walioamua kuipa hadhi ya jiji umewaona hawajielewi au me sijakusoma point yako
 

we toka tu povu lakini mji wenu, hovyo out of touch na dunia. Mara sabini ata arusha. Very diplomatic, very civil. Mwanza kwanzia leo mi kwangu ni mji mkubwa tu lakini hauna tabia za majiji ya dunia niliyotembea. Yani ni out of touch na ulimwengu.
 
hivi kila mtu angetaka jiji likidhi vigezo vyake ingekuwaje yani we kwa kuwa umekosa center ya mtihani basi mwanza sio jiji? kwamba hamna sehemu za movie. ok mi naona arusha siyo jiji sababu haina ziwa kubwa wala bahari, Arusha sio jiji sababu kuna baridi kali sana.
ukiona mwanza haifai kuwa jiji nunua ardhi jenga mji wako afu serikali ijifunze kutoka kwako ili isirudie makosa pale watakapokuwa wakipandisha hadhi miji
 

hivi dar na majisifu yote unayoisifu ina movie theater ngapi?
 
Kamata Ngosha mmoja then peleka Arusha walau wiki tu usikie atasema nini...
 
Dogo ni hivi... shule zimeshafunguliwa, wahi karipoti ulikopangiwa..
 
Watu wa aina yako ni watu wa low self esteem,
Kinachokusumbua sio jiji la Mwanza ila inferiority. Fanyia kazi post yangu afu utajigundua.
 
Kamata Ngosha mmoja then peleka Arusha walau wiki tu usikie atasema nini...

Mi mwenyewe mtt wa A town ktambo,bt niko mwana sasa ni jiji zuri sana tatizo arusha niya watu wanaongea sana mwanza apa una make money kimykmya bata kmyakya joh...naipenda sana mwanza..
 
Kelele wewe... dar inafananishwa na paris dubai kuala lampur sao paulo jeddah tokyo etc..
Mwanza haina tofauti na tosamaganga

mkuu kwa wenzetu huko ndani ya jiji kunakua na majiji mengine mfano johannesburg tuu hapo kuna majiji kama 6 ndani ya jozi. Ss tumeweka hadhi ya jj kutokana na uwingi wa watu tuu lakini vtu vingine tumefeli kabisa.
 
Inaonekana we ni mtani tu wa wasukuma hapo naweza kukuelewa labda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…