Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
kuna watu wengine ni vichwa vya mende...huyu naye amekuwa admitted kama mwanachuo hajui hata sifa ya jiji ... dx..psy.
Tx...milembe
kapimwe akili kwanza ushamba wako harafu unalaum jiji!! nyana!Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu
ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa,
nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona
centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi
nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike ba
si ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka
Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed
na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani
lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini
upo very international mnamatatizo gani nyie
mangosha?