Hivi mwanaume utaachajwe kwa mfano!!?

Hivi mwanaume utaachajwe kwa mfano!!?

Ebwana eeh nimepata kama 10,000$ nataka nichukue ndinga. Hivi kati ya Colbat na Golf GTI ni ndinga gani kali hapo nichukue na mimi nitambe road?

Ipi ina spidi, handling na acceleration nzuri?

Nacheza gemu ya Need for Speed Most Wanted sasa nataka gari ya uhakika ya kuwatoka askari na hawa Blacklist members.

Msaada tafadhali.
Njoo kwenye EUROTRUCK kuna mizinga ya magari ni hatari.
 
Naam kuna ukweli nauona kwa mbaaalii hapa, lakini usichukue maamuzi ya kumpiga chini kama bado unampenda, utaumia! Piga chini ni special kwa wanaume wenye maamuzi magumu, mwanaume dhaifu chonde chonde usijekusema sijakupa onyo!
Ni kweli mkuu
 
Ingekuwa rahisi kiivyo mngejidai sana, cha kusikitisha hamna jeuri hiyo

Wanaume wa Dar ndio hawana jeuri hiyo.

Sisi huku tunakumwaga, na ukizingua kichapo unakula, + plus kunyan'ganya simu + nguo nilizonunua, mpaka za ndani.
 
Kumbe wenye mawazo hayo tuko wengi
Yaani mimi hata kama tumedumu hata wiki mbili hata kama sijakunanjilinjili nakupiga chini mapeema tuu

Badilisha strategy Mkuu, hio utaonekana mzembe.

PIGA chini halafu baadae ndio PIGA CHINI.
 
Na dada yako anapigwa chini hivyo hao wanakuunga mkono ndio mashemeji zako

Natumai analijua hilo, so tunawapiga chini na baadae tuna PIGA CHINI hao maDada zake(kama anao)....
 
kuna pimbi mmoja alikua ananipimia me nikammwaga kiukweli kweli..baada ya kama miezi minne kaniletea papuchi mwenyewe ghetto niigegede..mwanaume usionyeshe udhaifu kwa mwanamke
 
Back
Top Bottom