Hivi mwanaume utaachajwe kwa mfano!!?

Hivi mwanaume utaachajwe kwa mfano!!?

Sifa kuu ya mwanaume ni pamoja na kuchagua mwanamke na kuacha mwanamke!Nina wasiwasi na wanaume wanalialia kwenye social media eti wameachwa!!ukiona mwanamke anaanza kuchelewa kujibu SMS zako na mwanzoni haikuwa hivyo!wewe piga chini!
Ukiona mpenzi wako anakupa K kwa masharti mengi wakati mwanzoni haikuwa hivyo!huyo piga chini!
Ukiona demu analilia shinda mizinga haiishi huyo piga chini apambane na hali yake!
Ukiona demu akuandikii message hadi uanze wewe na mwanzo hakuwa hivyo wewe huyo piga chini
Ukiona mwanamke kila kukicha anajifanya ana rafiki wa kiume na mwanzo haikuwa hivyo wewe usimcheleweshe piga chini
Ukiona mwanamke kila jambo dogo anaanza kununa usimcheleweshe piga chini!
N:B,mbinu hizi ni kwa wale wapenzi tu!kama umeowa wewe pambana na ndoa yako tu
Umenikumbusha yule dada wa "WE BULOKU" 😀😀😀😀
 
Ebwana eeh nimepata kama 10,000$ nataka nichukue ndinga. Hivi kati ya Colbat na Golf GTI ni ndinga gani kali hapo nichukue na mimi nitambe road?

Ipi ina spidi, handling na acceleration nzuri?

Nacheza gemu ya Need for Speed Most Wanted sasa nataka gari ya uhakika ya kuwatoka askari na hawa Blacklist members.

Msaada tafadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaaaahhh we jamaa umewakoroga wenzako.
 
Sifa kuu ya mwanaume ni pamoja na kuchagua mwanamke na kuacha mwanamke!Nina wasiwasi na wanaume wanalialia kwenye social media eti wameachwa!!ukiona mwanamke anaanza kuchelewa kujibu SMS zako na mwanzoni haikuwa hivyo!wewe piga chini!
Ukiona mpenzi wako anakupa K kwa masharti mengi wakati mwanzoni haikuwa hivyo!huyo piga chini!
Ukiona demu analilia shinda mizinga haiishi huyo piga chini apambane na hali yake!
Ukiona demu akuandikii message hadi uanze wewe na mwanzo hakuwa hivyo wewe huyo piga chini
Ukiona mwanamke kila kukicha anajifanya ana rafiki wa kiume na mwanzo haikuwa hivyo wewe usimcheleweshe piga chini
Ukiona mwanamke kila jambo dogo anaanza kununa usimcheleweshe piga chini!
N:B,mbinu hizi ni kwa wale wapenzi tu!kama umeowa wewe pambana na ndoa yako tu
Unaachwa vizur tyuuu na unabaki ukilia km mbwa
 
Naam kuna ukweli nauona kwa mbaaalii hapa, lakini usichukue maamuzi ya kumpiga chini kama bado unampenda, utaumia! Piga chini ni special kwa wanaume wenye maamuzi magumu, mwanaume dhaifu chonde chonde usijekusema sijakupa onyo!
 
Sifa kuu ya mwanaume ni pamoja na kuchagua mwanamke na kuacha mwanamke!Nina wasiwasi na wanaume wanalialia kwenye social media eti wameachwa!!ukiona mwanamke anaanza kuchelewa kujibu SMS zako na mwanzoni haikuwa hivyo!wewe piga chini!
Ukiona mpenzi wako anakupa K kwa masharti mengi wakati mwanzoni haikuwa hivyo!huyo piga chini!
Ukiona demu analilia shinda mizinga haiishi huyo piga chini apambane na hali yake!
Ukiona demu akuandikii message hadi uanze wewe na mwanzo hakuwa hivyo wewe huyo piga chini
Ukiona mwanamke kila kukicha anajifanya ana rafiki wa kiume na mwanzo haikuwa hivyo wewe usimcheleweshe piga chini
Ukiona mwanamke kila jambo dogo anaanza kununa usimcheleweshe piga chini!
N:B,mbinu hizi ni kwa wale wapenzi tu!kama umeowa wewe pambana na ndoa yako tu
Je, kwenye posti yako mahali panapotaja "mwanaume" ukiweka "mwanamke" na mahali pa "mwanamke" ukaweka "mwanaume" nini kitatokea? Yaanu mwanamke akiona mwanaume hatumi sms hadi yeye aanze ns mwanzoni haikuwa hivyo mwanamke afanyeje? Avumilie?
 
Back
Top Bottom